NATAFUTA SPONSORSHIP,nipo chuo kikuu.

M

Mwadilifu

Member
Joined
Feb 13, 2011
Messages
74
Points
0
M

Mwadilifu

Member
Joined Feb 13, 2011
74 0
Habarini wanajamvi! Ni kijana wa kiume,nina miaka 23,ninasoma chuo kikuu Iringa,mwaka wa tatu sheria,kwa hali na mali natafuta sponsor, awe individual,organisation or whatever,this is serious nd i will provide more(full) informations to some one interested,plz let's invest in education,lets invest in knowledge,for we call this forum home of Intellectuals,its time now,lets make them,atleast one.
 
Borat69

Borat69

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Messages
2,529
Points
2,000
Borat69

Borat69

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2012
2,529 2,000
Habarini wanajamvi! Ni kijana wa kiume,nina miaka 23,ninasoma chuo kikuu Iringa,mwaka wa tatu sheria,kwa hali na mali natafuta sponsor, awe individual,organisation or whatever,this is serious nd i will provide more(full) informations to some one interested,plz let's invest in education,lets invest in knowledge,for we call this forum home of Intellectuals,its time now,lets make them,atleast one.
Duuuh! Mkuu hapo umekosa sponsorship yangu. Ila usikate tamaa wapo kina Preta humu wanaweza kukusaidia.
 
Kigogo

Kigogo

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2007
Messages
20,554
Points
2,000
Kigogo

Kigogo

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2007
20,554 2,000
We ni mwanamke au mwanaume
 
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Messages
13,991
Points
2,000
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2012
13,991 2,000
Kama ni kusaidiwa asaidiwe tuh,kwani ni lazima awe mwanamke

nakushauri uwaone viongozi wa upako kama antony lusekelo,josephat mwingira,lwakatare n.k

ndio maana tunachanga zile sadaka ziwasaidie watu kama nyinyi

kila la heri ndugu
 
Forum statistics

Threads 1,295,829
Members 498,404
Posts 31,224,511
Top