Jemus Mbatia Shughurikia Rushwa inayotajwa kutolewa leo na kada Florian ama sivyo mupo CCM-C!!!!


KING COBRA

KING COBRA

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Messages
2,783
Likes
61
Points
145
Age
28
KING COBRA

KING COBRA

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2011
2,783 61 145
Leo imetajwa kuwa kada wa NCCR ametoa Rushwa wakati Faustin Sungura anakemea Rushwa ya CCM:
Sasa yafaa Mbatia naye achukue hatua dhidi ya rushwa hiyo angalia hapa!!!!!!
[h=2]NCCR yapinga rushwa muda huohuo wakitoa rushwa hapohapo[/h]
Chama cha Siasa cha NCCR MAGEOUZI kimejikuta kikiwa katika hali ya kutoeleweka baada ya kuilalamikia Rushwa iliyopo katika chama Mwenzake CCM kwa kusema kuwa itawashugulikia viongozi wake walioingia madarakani kwa Rushwa baada ya miezi sita wakati huohuo NCCR ikatoa Rushwa kwa waandishi wa habari waliohudhuria katika mkutano huo leo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo katika mkutano huo, Makamu mwenyekiti wa Chama hicho Bw, Faustine Sungura, amesema kuwa hawapo tayari kuvumilia Rushwa kwa miezi sita kama ilivyo ahidiwa na Makamu wake Mangula.

Sungura amesema kuwa wanatoa siku saba kwa CCM kuhakikisha kuiagiza Serikali yake kuikomesha Rushwa na matendo yanayoendana nayo ndani ya siku saba kuanzia sasa.
"enzi za mwalimu Nyerere tulikuwa tunapata tabu sana kuwabaini wala rushwa tofauti na sasa ambapo wala Rushwa wote wanajulikana", amesema Sungura
Chakushangaza baada ya Makamu mwenyekiti kuongea na kuonyesha jinsi alivyokerwa na Rushwa iliyopo katika CCM, Afisa habari wa chama hicho Bw, Florian Lutayigwa alianza kuwagawia Baadhi ya waandishi waliokuwemo katika mkutano huo shilingi 5000 kila mmoja ambazo wengi tulitafsiri kwamba ni Rushwa ili waandishi wakaiandike habari hiyo kama ilivyo.
Na wakati akitoa pesa hizo alikuwa anawaambia waandishi hao kuwa wahakikishe wameandika story kwani kesho atanunua magazeti kuona kama habari imetoka.

[TABLE="class: cms_table_tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
IMG_0248.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_tr-caption, align: center"]Hawa ni waandishi wa habari waliokuwemo kwenye mkutano huo[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="class: cms_table_tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
IMG_0270.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_tr-caption, align: center"]Hapa Bw, Florian Lutayigwa akitoa pesa kwa waandishi waliohudhuria katika mkutano huo[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

 
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
30,997
Likes
6,428
Points
280
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2011
30,997 6,428 280
ina maana waandishi thamani yenu 10,000/= tu?
 
Nyenyere

Nyenyere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Messages
9,124
Likes
2,262
Points
280
Nyenyere

Nyenyere

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2010
9,124 2,262 280
Kama kweli ni rushwa kwa nini mliipokea? Nyie pia mnatakiwa kushughulikiwa. Vinginevyo wacha majungu.
 

Forum statistics

Threads 1,237,180
Members 475,465
Posts 29,280,523