Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

nimemsikia msemaji wa Polis ambae nimelishika jina la kwanza ADVERA (ITV habari za saa saa 9.00adhuhuri)akisema polisi imeanzisha mtandao wa kuwashika natapeli wanaochukua pesa za watu kwa ahadi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MONDAY, NOVEMBER 26, 2012 Michoro ya ujenzi wa Kampasi ya Mloganzila iliyo kijijini Kwembe katikati ya Wilaya za Kisarawe Mkoa wa Pwani na Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam. Hii ni sehemu ya...
3 Reactions
21 Replies
9K Views
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza waombolezaji kuweka maua katika mwili wa Mzee Jayantlal Rajani ikiwa ni ishara ya kutoa heshima za mwisho kwa marehemu wakati wa kuaga mwili wa marehemu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Am not sure whether this is the right forum or not but i stand to be corrected as well to be forgiven. the thing here is that the community hatred have jeopardized my carrier, social status and...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
TUKIO: Samaranta binti mzuri aliondoka chuoni kwake jioni moja kwa kusudi la kwenda kumfurahisha mzee mmoja jirani yao, ambaye amekuwa akimtaka kimapenzi kwa ahadi ya zawadi kemkem...
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Habari ya kweli iliyotokea hivi karibuni. Kuna dada mmoja anasoma chuo buguruni na pia ni mfanyakazi hivyo jioni akitoka kazini ndipo huenda shule.Sasa akiwa njiani kuelekea chuo akapigiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TUKIO: Samaranta binti mzuri aliondoka chuoni kwake jioni moja kwa kusudi la kwenda kumfurahisha mzee mmoja jirani yao, ambaye amekuwa akimtaka kimapenzi kwa ahadi ya zawadi kemkem. Haikumchukua...
0 Reactions
0 Replies
877 Views
  • Closed
JUMATATU, NOVEMBA 26, 2012 05:29 NA GABRIEL MUSHI, DAR ES SALAAM *Waliohusika watiwa mbaroni *Kardinali Pengo awaasa waumini MIGOGORO ya kidini, imeendelea kushika kasi baada ya watoto wawili...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
At 31, Ashish J. Thakkar is one of the wealthiest, most successful entrepreneurs of Ugandan origin. He is the founder and CEO of the Mara Group, a conglomerate with tentacles in everything from...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
SWALI: Kuna msanii mmoja maarufu sana alifariki siku za hivi karibuni na watu wakasema eti alitabiri kifo chake kwa kuwa alicheza filamu yenye matukio yanayofanana kabisa na yaliyotokea kwenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilikuwa nafuatilia usaili wa polisi wapya nchini Kenya katika tv siku kama tatu zimepita . Kigezo chao kikubwa ni kwamba anayeomba nafasi ya kujiunga na upolisi ni lazima awe na DIPLOMA yeyote...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu zangu wanajf. Nimegundua kuwa kuna tatizo kubwa mno katika utendaji wa ofisi ya cag.mwaka jana hapa katika halmashauri ya wilaya ya musoma madiwani waliikataa rasmi taarifa ya cag kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naomba kuuliza kilasiku nimekuwa nasikia kuwa watu wameshikwa na Bangi,Cocaine's zenye /vyenye thamani ya shilingi milioni 200,swali je vitu hivi wanajuaje bei yake wakati haviuzwi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Waziri Mkuu aliyejiuzuru, EL amewasili Jijini Mbeya leo asubuhi tayari kwa kuendesha zoezi la harambee ya kuchangisha pesa kwa ajili ya ujenzi wa mabweni ya wasichana ya Chuo kikuu cha Moravian...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
CCM baada ya kupigiwa kelele muda mrefu kuwa imekithiri rushwa, wizi, ujangili, uhujumu, uzembe na kukosa umakini ndani ya chama na serikalini imeamua kuwaonyesha watanzania wazi kuwa kelele zao...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Baadhi yake ni 1. Mbunge mmoja wa CDM ni sawa na viongozi 60 wa ccm kiutendaji. 2. Kama hamuwezi kulipia pantoni, pigeni mbizi 3. Kwahiyo inamaana baba yake Dr.Slaa ni shoga. 4. Niwarambe...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Diwani wa CHADEMA aliyehamia CCM amemtuhumu Lema . Je kama sababu anayotaja ndiyo ya msingi kuhama CHADEMA je huko alikohamia ni salama?? Kuna nini CCM angalia Mwanamke mmoja anayeitwa Rahma...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Watanzania wenzangu walamika hakuna ajira hata ile ya kuuza nguo kariakoo imechukuliwa na wageni wakijiita wawekaji au wafanyabiashara wakubwa na huku hata mtaji wa 10 Mill.hawana,na mara nyingi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Katibu wa itikadi siasa na Uenezi wa CCM Nape Nauye amesema kuikabidhi Nchi kwa wapinzani ni sawa na kumkabidhi Fisi Bucha,ambaye mwisho wa siku bada ya kula na kushiba atakimbia na kuiacha bucha...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…