Limekuwa ni jambo linalonishangaza na kunisononesha kila mara ninapopita ubungo stendi ya daladala kwa wakazi wa kimara, mbezi, kibamba na sehemu zingine za uelekeo wa mlandizi . kutokana na...
Heshima mbele wakuu.
Nahitaji vitabu hivi tafadhali, na miko mbali na Dar es salaam wanajamvi.
1 : Gupta S P ( 2003), Statistic Method, Sultan Chand & Sons Education.
2 : Amin M E (2005), Social...
Watanzania tuwe makini sana na nchi yetu.
Mjadala wa kumjadili Dr Slaa nahisi sasa umepamba moto kila kona ya nchi hii ikiongozwa na wanaCCM.
Swali langu ni kwanini nchi hii maskini tusijadili...
Interest ya 1% for year, Inamaanisha kama una 10,000,000/= unapata 100,000/= kwa mwaka.
Wameweka benefits za uongo na kweli kama Matibabu, Msaada wa Mazishi, Wajawazito
Matibabu
NSSF wameingia...
Magari yanaibiwa, vifaa vya magari n.k vinaibiwa lakini ukienda
pale Gerezani hutakiwi kufanya lolote zaidi ya kulipia kwa mara ya
pili kifaa chako mwenye tena kikiwa na namba zake zilezile
POLISI...
Niko njiani kutoka KIGAMBONI kuelekea KISARAWE kupitia njia ya Mbagala. Katika safari yangu hii harufu mbaya ya takataka imetawala hasa kuanzia Mbagala na Temeke, tulipooingia barabara ya Nyerere...
Wananchi 15 wanaoishi Kitongoji cha Kahomwele,Kijiji cha Doroto,Tarafa ya Itigi,wilayani Manyoni, Mkoa wa Singuda, wameamuriwa kulipa faini ya shilingi 35,000/= kila mmoja kwa madai kuwa walikula...
Mwanamke mmoja aliyejitambulisha kuwa Mwenyekiti wa chama cha haki za wasanii (COSOTA) akishirikana na jeshi la polisi wamevamia stationari zilizopo wilayani Mbulu Mkoanai Manyara na kukusanya...
Yao Defen, the world's tallest woman, has died in China at age 39. Yao, whose height of 7 feet 7 inches was certified by Guinness World Records in 2010 as that of the tallest living woman, passed...
Hatimaye raia wa Marekani Bi. Edwarda O' Bara (59) aliyekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kisukari uliosababisha azimie kwa kipindi cha miaka 42 amefariki dunia. Taarifa zinaonesha kuwa alipoteza...
Chad is both one of the poorest and most corrupt nations in the world
Wikimedia Commons
Chad ranks 165 out of 174 countries and earned a score of 19 out of 100.
Two watchdogs said that the oil...
Nasikitishwa na ahadi zitolewazo na viongozi wetu kipindi cha kampeni,pia hata viongozi wa kuteuliwa kwani utendaji wao si sawia na ahadi wazitoazo kwa wawateuao na wananchi.Suala la wakulima na...
Ndugu wana JF siku moja niliitikia wito wa mahakama kwenda kutoa ushahidi mbele ya mheshimiwa hakimu mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi.
Miongoni mwa tuliokua kwenye chumba cha mheshimiwa...
Wakuu wakati baadhi ya wanaCDM wanakimbilia ndani ya CCM,wale wajanja ambao tayari wameusoma upepo wa siasa za nchi hii na hasa wanasiasa waliokamaa wanasepa na kujiunga CDM,hebu soma huyu kamanda...
Nimewahi kuiona mwaka 2010 kwenye king'amuzi cha Startimes
kipindi hicho nilikuwa sijanunua king'amuzi. Naomba kujua King'amuzi
gani inapatikana?
aNimenunua Kifurushi cha Uhuru inaweza kuwa...
TCRA na wadau wengine, nimekuwa nikifuatilia vipindi kadhaa vya filamu kupitia ITV na TBC esp. vya marudio mda wa mchana. Kinachonisikitisha ni kuwa, tofauti na channels za DSTV ambazo huwa zina...