Wasalaam!
Hapa nilipo ninaandaa hadithi inayomhusu mwandishi wa habari za kichunguzi ( Investigative Journalist ). Binafsi sina uelewa wowote kuhusu uandishi wa habari , bali nina mapenzi na...
Zamni watu waliheshim sana maiti na kuiogopa Eti watu mara hii mtu/watu wakipata ajari na kufa hatua ya kwanza ni searching mpka maiti wnakwiba mpka hata wanadiliki kukata vidole kama vimevaa...
Tafadhali kuna yeyote mwenye taarifa juu ya kesi hii kwani iliandikwa kwenye baadhi ya magazeti ya leo kuwa rufaa dhidi ya Zombe na wenzake ingefanyika leo mahakama ya rufani, tujuzeni maana hamu...
Ndugu zangu...
Baadhi ya polisi Zanzibar wamekuwa wakihoji pembeni pembeni kuwa, wao hawawezi kushabikia Muungano uvunjike sababu iwapo Muungano ukivunjika wao watalipwa na nan?? Wakati serikali...
Hospitali, kwa mujibu wa Sheria za nchi ni mahali pa wagonjwa wa aina mbalimbali, kwa hiyo haparuhusiwi makelele ya aina yoyote ya kuwabughudhi wagonjwa, labda kelele za wagonjwa waliozidiwa...
Kabla ya Mangula kuitwa na mtandao wa Membe tayari alikuwa katika tope la Rushwa ambapo alijhusisha na mtandao wa Waziri Gerson Lwenge ambaye tuhuma zake zipo PCCB Njombe.
Hata hivyo...
Kwakweli hawa watu nawachukia sana ndani ya moyo wangu wote. Hospital ya serikali ,vitanda vya serikali, dawa za serikali + mnalipwa pesa nzuri tu . BADO MNATAKA RUSHWA TENA KWA WAGONJWA...
Habari wakuu.
Mtoto Gifti anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 7 mkazi wa Yombo,Buza,Temeke.Dar amecharangwa na mapanga na baba yake mzazi baada ya mtoto huyo kujaribu kuamlia ugomvi kati ya baba...
Wakimbizi wa kambi ya Mtabila iliyoko wilayan Kasulu wako wanafanya vùrugu kubwa zoezi la kufunga kambi za Warundi limeanza miezi 3 iliyopita. Ilikuwa imebaki kijiji <zone A> ili kambi ifungwe...
Mh Nimekusikia Ukiongea kuhusu wachimbaji wadogo wadogo,pita katika maneno yako.Tumeona Mwabomba Kahama mzungu amechimba takribani miaka 2 hakuna chochote katika maendeleo lakini tumeona baada ya...
Unajua unaamka alfajili kwa ajili ya kuwahi flight ya 7.10am, unahamaki labda umechelewa unaamua kuendesha mwenyewe ukihisi anayekuendesha ajui Kama umechelewa. Unapark haraka unacheckiwa na...
Nimeona katika M-pesa kuna namna ya kudeposit pesa katika bank tofauti(CRDB/ACB na AMANA) na kupata electronic deposit slip..kwa nchi hii ambayo maadili yamemomonyoka na uhalifu wa kimt andao...
Umekua ukisikia mara kwa mara vituko vya uwanja wa ndege wa JKN kuanzia kuibiwa , kusachiwa kwa baadhi ya abiria , kulaghaiwa na aina nyingine nyiingi sana za uharamu ndani ya uwanja huo kutokana...
WASICHANA wa eneo la Nzovwe, jijini Mbeya wametuhumiwa kushinda katika klabu za kuuza pombe za kienyeji, hasa nyakati za usiku na kufanya mapenzi na wanaume zaidi ya mmoja kwa siku kwa tamaa ya...
Nimepita maeneo ya Airport Mbeya kuna mtoto ametupwa kwenye jalala lililopo kando ya barabara inayotoka mafiat kuingia airport. Watu wamejaa na mtoto amekutwa amekufa.
Update zitakuja after time.
:A S-baby:Kwa mdomo wako wewe mwenyewe na bwebwe nyingi uliongelea kwa kirefu matatizo yanayoikabili TTCL na ulitamka bila kusita kuwa uongozi unachangia na ukawataja kwa vyeo nafasi mbili ndani...
WATU wanaodhaniwa kuwa ni majambazi,wamevamia gari lililokuwa linasafirisha maiti kutoka mjini Morogoro kwenda mkoani Mara kisha kupora takriban Sh19.8 milioni walizokuwa nazo waombolezaji...