Mmh utanzania wa amani na upendo uko wapi watnzania?

Mmh utanzania wa amani na upendo uko wapi watnzania?

Yasser5

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
207
Reaction score
17
Zamni watu waliheshim sana maiti na kuiogopa Eti watu mara hii mtu/watu wakipata ajari na kufa hatua ya kwanza ni searching mpka maiti wnakwiba mpka hata wanadiliki kukata vidole kama vimevaa Gold iliyogandana Jamni Utanzania gni huu,uhuru na amni imeenda wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom