K KZJ Member Joined Oct 18, 2012 Posts 45 Reaction score 2 Oct 19, 2012 #1 Ningependa kujua kwanini daraja la Kigamboni wenye magari walipe wakati wa kupita, kwani linajengwa kwa fedha za wafanyakazi.
Ningependa kujua kwanini daraja la Kigamboni wenye magari walipe wakati wa kupita, kwani linajengwa kwa fedha za wafanyakazi.
G Gangi Longa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2010 Posts 275 Reaction score 135 Oct 22, 2012 #2 fedha hizo zimekopwa kutoka mifuko ya wafanyakazi na zinapaswa kurudishwa
Mbugi JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 1,488 Reaction score 258 Dec 11, 2012 #3 KZJ said: Ningependa kujua kwanini daraja la kigamboni wenye magali walipe wakati wa kupita,kwani linajengwa kwa fedha za wafanyakazi. Click to expand... Hoja zingine zinataka uwe chiiziii lasivyo utazeeka siku si zako????
KZJ said: Ningependa kujua kwanini daraja la kigamboni wenye magali walipe wakati wa kupita,kwani linajengwa kwa fedha za wafanyakazi. Click to expand... Hoja zingine zinataka uwe chiiziii lasivyo utazeeka siku si zako????