Mama huyu pichani Rose Musoma anasumbuliwa na Ulemavu wa Viungo. Alipata ajali Wilayani Bukombe Mwaka 2008. Sasa yupo Mbagala Kingugi - Dar Es Salaam akiwa amepooza viungo na hajiwezi kwa kila...
Mods sijui kama hapa ni mahali pake... kwa yeyote anayemafahamu JULIETH HAROLD nimeokota Cheti cha Baraza la Mitihani la Taifa cha Kufuzu ualimu daraja A, kinaonyesha kuwa amehitimu Chuo cha...
NI ajabu na kweli kwamba abiria mmoja katika ndege ya Shirika la Ndege la Misri aling'atwa na nyoka aina ya Cobra akiwa ndani ya ndege.
Hali hiyo ikailazimu ndege hiyo kutua kwa dharua baada ya...
wana JF,mimi ni dereva wa lori lifanyalo safari za nje,siku ya jana nilikuwa ktk kazi zangu nikiwa eneo ya Kimara nyuma yangu kulikuwa na gari lenye maandishi NW MUV,mbele yangu kukawa na gari la...
Waliikuta mifupa yake kando ya kibanda chake cha muda katika kisiwa kisichokuwa na watu katikati ya Atlantiki. Baharia yule asiyejulikana jina lake alitunza kitabu cha mambo ya kila siku...
Ilikuwa ni mwanzoni mwa miaka ya 2000,Baada ya james(jina si sahihi) kumaliza elimu yake ya juu,ktk kutafuta kazi alikosa akaamua kutafuta kazi za usafi,akapata katika kiwanda kimoja kama...
Wadau mtandao wa simu wa mkononi Vodacom haufai hata kidogo sijui kama wanaosimamia wanafikisha ujumbe mahala usika. Yaani hapa na hapa mtu haumpati mnaongea unasikia kama mwenzio anaongelea...
Asalaam aleikhum,tumsifu yesu kristu............!!!
One of my beest friend,mshkaji wa ukweeenhee kabisa,amemaliza majuzi tu masters yake huko abroad.Kilichomfanya anitafute baada ya kurudi bongo...
Mbunge wa jimbo la Ludewa mkoani Njombe akiangua kilio wakati akimsikiliza mtoto Diana Haule (11) mkazi wa Shauri moyo wilaya ya Ludewa ambae amelazwa katika wodi namba 6 akitibiwa majeraha...
WATU wanaosadikiwa kuwa matapeli, wamekuwa wakimpigia simu mpiga picha mkuu wa gazeti hili, Joseph Senga, na kujitambulisha kuwa maofisa wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa wakitaka wakutane naye...
vbanda viwili vilivyojengwa katika stend ya mabasi MLANDIZI vigTsh milion kumi na nne, ina maana kila kimoja kimetengenezwa kwa thamani ya shilingi milion saba kwa mujibu wa takwimu za halmashauri...
Thursday, December 27, 2012
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akipata maelezo kutoka kwa Uongozi wa Skuli ya Francis Maria Tomondo ambapo Padre Ambrose Mkenda wa Paroko ya Parokia ya Mpendae...
Kuna matangazo yanaendelea huku Arusha kuwa Mr Eddo anapanga kufanya fundrising katika shule yake ya zamani Arusha Secondary School.
Amewataka wale wote waliosoma shule hii kujitokeza na kumuunga...
Bas hizi zimepoteza hadh yake. nimepanda leo mza naenda dar, yaliyojiri sasa
1. abiria wamegonganishwa siti, mzozo umezuka hadi mmoja kaamua akae . kwenye bonet.
2. gari inachemsha...
THURSDAY, DECEMBER 27, 2012
MAANDALIZI ya Mkutano Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) yanaenda vizuri na wajumbe wanatarajiwa kufika Bagamoyo Ijumaa Desemba 28...
Caught on camera: Moment 33-ton aquarium bursts in shopping centre, showering crowds with LIVE SHARKS and shards of glassBy LEON WATSON
PUBLISHED: 16:37 EST, 26 December 2012 | UPDATED: 10:10 EST...
Kwa mujibu wa Breaking News Sasa hivi toka Radio One, Padre anayejulikana kwa jina la Ambrose Mkenda amepigwa Risasi na Watu wasiofahamika kwenye gate la nyumbani kwake wakati akifunguliwa gate...
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari saa mbili usikundipo nikajue kumbe mauaji ya Mara hivi karibuni yalisababiswa na imani zakishirikina.
Kama tujuavyo hatuwezi kuendelea bila kuaminikatika...
Mimi ni mdau wa utoaji mizigo bandarini. Nimejitokeza kutoa ushauri kwa watu wanaorudi na mizigo (personal effects) nyumbani. Kwa watu ambao wamekaa nje ya nchi zaidi ya mwaka mmoja mfululizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.