Items worth millions stolen from Mwandosya home
Wednesday, 26 December 2012 22:21
By Lucas Liganga
The Citizen Chief Reporter
Dar es Salaam.
Cabinet minister...
Niliwahi kuandika hapa kuhusu uvunjwaji wa haki za wagonjwa unavyofanywa na madaktari. Wapo waliokubaliana nami na wapo waliokataa. Tukubali tukatae, tunavunja sana maadili. Katika kupita kwangu...
Ningepewa nafasi ya kuubatiza jina Mwaka 2012 ningeuita Mwaka wa Upumbafu wa Ujana. Ningeuita hivyo kutokana na kuwa mwaka uliodhihirisha UJANA/RIKA/UMRI ni vigezo vya kipuuzi kabisa katika...
Wadau na Mh. Mwakyembe,
Nimeona insi kampuni ya reli sehemu ya pwani ya magharibi ya India iliyofanya ubunifu kuongeza mapato yake kwa kubeba malori ya mizigo badala ya makontena na kwa ajili ya...
Mawaziri wa JK wagongana
na Asha Bani
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki, ametofautiana na Waziri mwenzake wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Thereza Huviza, akipinga...
Wana JF mashabiki, wapenzi na wanachama wa CHADEMA iko haja ya kumsindikiza Comrade Godbless Lema bungeni mwezi Januari 2013. Supporters wapange jinsi ya kujikusanya toka kila mkoa na kila wilaya...
Sapa-AFP | 26 December, 2012 12:56
Tunisians protest in the central town of Sidi Bouzid. File photo.
Image by: STRINGER / REUTERS
A young unemployed teenager has killed himself in Sidi...
Wakati tukisaka wanasiasa bora na waliofanya kazi zaidi mwaka 2012, nadhani ni bora tuwataje pia wanasiasa waliotia fora kwa pumba nyingi zaidi. Tupendekeze majina halafu nitawaweka kwenye poll...
Leo ktk kijiji cha chalowe,njombe,kulikuwa na mazishi ya mtu mmoja ambaye ni mstaafu wa utumishi wa umma ,chadema waliwasilisha salaamu na rambirambi wakimsindikiza mtoto wa marehemu ambaye ni...
Wanajf naomba kujuzwa ni lini huu mkonga utazinduliwa rasmi na utasaidia kwa kiasi gani esp kwa watu wa vijijini na jee ni kwa ajili ya kurusha mawimbi ya internet tu ama mpaka simu tv na radio...
What is that phrase you always wanted to tell someone? Here's mine: -
1. There is no vaccine against stupidity!
2. Wipe your mouth, there is still a tiny bit of bulls--- around your lips.
3. Im...
Ninampango wa kununua kagari kadogo kwa usafiri wa kzn,nimeona kwenye mtandao,bei yake na cif ni usd 1350,na ni cc 990 ya 97,swali ,,uimara wake,utumiaji wa mafuta ukoje? Ushuru utakuwa je kwa...
Katika mwaka ule wa 1929 (Frank Morris) alipanda meli iliyokuwa ikienda Uswisi. Alikuwa ametazamia kufanya safari ile kwa muda fulani. Lakini ikageuka na kuwa safari ya kumdhalilisha. Mtumishi...
Breaking News basi la New Force toka Mbeya kwenda Dar Es Salaam lapata ajali asubuhi hii zaidi ya majeruhi 20 wakimbizwa hospitali
This is the developing news. More update to follow
Mtwara ni kituvo cha gesi asilia yenye manufaa lukuki kwa ustawi wa nchi. je kwa wasomi wetu katika jeshi na serikali na vyuo nii sahihi kuweka vyanzo vyote vya umeme wa asili jijini dar? hivi...
Hiki kitu ambacho kinaitwa "fashion police" mimi kwangu naona kama ni upuuzi....
Eti ukienda sehemu fulani kuna hao "wapuuzi" wanaojita fashion police halafu wanaanza kukusodoa kuanzia juu mpaka...
Heshima mbele wakuu,
Kwa wakazi wa Dodoma, Ningependa kujua kituo cha Review classes kwa masomo ya Bodi ya Wahasibu (NBAA) kwa hapa
Dodoma na namba, na mawasiliano yao. Niweze kufanya...
Mwanafunzi wa kidato cha tatu ktk shule ya sekondari ya Tongoni mkoani Tanga amekutwa amekufa ndani ya nyumba ya kulala wageni iliyoko barabara ya 21, alikopelekwa kutolewa mimba bila mafanikio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.