Mods sijui kama hapa ni mahali pake... kwa yeyote anayemafahamu JULIETH HAROLD nimeokota Cheti cha Baraza la Mitihani la Taifa cha Kufuzu ualimu daraja A, kinaonyesha kuwa amehitimu Chuo cha Ualimu Kasulu mwaka 1992.... kwa yeyote anayemfahamu naomba PM