Mwanza: Mtandao wa Vodacom ni wa hovyo kupindukia fanyieni kazi!

cement

JF-Expert Member
May 5, 2012
581
195
Wadau mtandao wa simu wa mkononi Vodacom haufai hata kidogo sijui kama wanaosimamia wanafikisha ujumbe mahala usika. Yaani hapa na hapa mtu haumpati mnaongea unasikia kama mwenzio anaongelea kwenye debe why pesa tuweke wenyewe harafu tupate shidaaaaa??????

Kama inashindikana semeni tuhame M pesa ndo inaudhi kupindukia hebu rekebisheni mnapoteza wateja wenu jamani.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom