Jamani huyu Waziri Mkuu Mizengo Pinda ni PM wa KATAVI TUU au wa Tanzania nzima? Siku hizi ni kama amekata tamaa ni nchi hii anashughulika na Katavi tu.
Mara kwa mara yuko Katavi kuzindua...
Wadau nimepokea taarifa za kifo za mwenyekiti wa halmashauri ya WILAYA ya KILOMBERO bwana RAMADHAN KIOMBILE ambaye alikua anaumwa kwa muda mrefu sana amefariki leo,huyu jamaa alichaguliwa kuwa...
Ilikuwa ni siku ya Alhamisi...tarehe 5 mwezi April mwaka 2012.....nikiwa nimetulia zangu home maeneo ya USA River Simu yangu iliita...taratibu nikaitoa mfukoni na kuicheki screen kujua nani...
HUYU MHESHIMIWA NDIYE ANAYEONEKANA SANA NYUMA YA KIKWETE MARA ZOTE KULIKO HATA BODY GUARD WAKE, MIMI KAMA MTANZANIA NADHANI HAKUTAKUWA NA UBAYA NIKIMFAHAMU YEYE NI NANI HASWA, JINA LAKE NA ROLE...
MBUNGE wa Jimbo la Ubungo John Mnyika, ameitaka Serikali kuweka wazi mradi wa miundombinu ya gesi asilia ambayo itahusisha ujenzi wa mitambo ya kusafishia gesi asilia katika mikoa ya Lindi na...
SIKU ya tarehe 21 nlipatwa na mkasa wa kuibiwa pesa kwny line yangu ya M-pesa, ambapo ishu ilkuwa hv
kuna mfanyakazi mmoja ,ambaye alijitambulisha kwa jina Azizi alkuja Ofsini kwangu kwa lengo la...
Heshima kwenu wakuu,, naombeni msaada wa kujua kwamba hizo kampuni juu zina flight ya kwenda mbeya..
Maana naangalia website zao hazina data nzuri..
Na kama hawana ni kampuni gani...
Katika kile kinachofurahisha na kusikitisha ni kitendo cha MWL mmoja kufikishwa katika kituo cha polisi katika mji mdogo wa LAMADI mkoani SIMIYU na sister mmoja wa kanisa Katoliki anayesimamia...
MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA), anatarajia kuzuru Butiama, mkoani Mara kwa ajili ya kutoa shukrani katika kaburi la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere.
Lema amefikia...
Wednesday, December 26, 2012
The high-speed passenger service is under way
The building cost has not been revealed, but it was built in a fraction of the time it has taken to build the...
Naombeni ushauri jamani, Vodacom wamefunga laini yangu ina Pesa, nimewapigia customer care wakasema ilisajiliwa usajili wa muda, wakataka namba ya kitambulisho, Jina langu, Tarehe, Mwezi na Mwaka...
Hello wana jamii,
Natumai wote ni wazima wa afya....
Natafuta a certain application that will be capable of syncronizing information between my two android hardware via bluetooth.
The reason...
Nilikuwa naangalia habari katika kituo kimoja cha runinga, nikaona mapokezi waliyopewa popo JK na vibaraka wake kwenye kasri la Sultan huko Muscat, kilichonivutia ni jins ****** na vibaraka wake...
Asikari mgambo waliokimbia nakukataa kuwaondoa machinga jiji Arusha mara tu baada ya mahakama kumrudishia ubunge lema
leo wameingia kazini chini ya ulinzi mkali wa jeshi la polisi,
Akiongea bila...
Ni Portable medical device kwa ajili ya kupima 'Blood Oxygen Saturation' na 'Pulse rate'.
Kwa yoyote mwenye kujua zinapouzwa hapa Bongo zikiwa mpya tafadhari nijulishe na bei yake ikiwezekana.
Habari wana jf. Leo ni siku ya tatu tangu nimetumiwa pesa kwanjia ya NMB pesa fasta. Tangu juzi system inaniambia subiri huduma inashugulikiwa na hakuna kinachoendelea mpaka inajirudi mwanzo...
Wakimama wakiwa wamelala zaidi ya mmoja kwenye kitanda katika hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam.Picha na Maktaba
HALI si shwari kwenye wodi za wazazi katika hospitali karibu zote kubwa...
Wajawazito katika Wilaya ya Iramba mkoani Singida, huuziwa kadi za kliniki kulipia baadhi ya huduma nyingine.
Hayo yamebainishwa na shirika lisilo la kiserikali la Sikika la jijini Dar es Salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.