serikali acheni sasa yatosha

serikali acheni sasa yatosha

mfungua mafundo

Senior Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
121
Reaction score
74
ni muda mrefu sasa tangu gazeti la Mwanahalisi limefungiwa, serikali acheni ubabe achia gazetiii
 
hilo gazeti ni mwiba wenye sumu kwa CCM na serikali yake. lakini Mungu mkubwa...haki itatendeka.
 
ni suala la muda tu hawatalifungia milele! japo inaumiza mno kwakuwa twapitwa na mengi ati
 
Back
Top Bottom