Chimbuvu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2012
- 4,401
- 2,345
Ilikuwa ni mwanzoni mwa miaka ya 2000,Baada ya james(jina si sahihi) kumaliza elimu yake ya juu,ktk kutafuta kazi alikosa akaamua kutafuta kazi za usafi,akapata katika kiwanda kimoja kama msafishaji huku akiwa ni graduate.
Akaanza kuifanya kazi ya usafi kwa furaha zote,wakampa tena kazi nyingine ya kutunza bustani ya hapo ofisini,alikuwa anakaa mbali sana na hapo alipokuwa anafanyia kazi kwa kuwa kiwanda kilikuwa nje ya mji.na wala hakuna rafiki yake yeyote aliyejua ni kazi gani anayoifanya,akitoka asubuhi anarudi jioni.ikatokea nafasi ya secretary katika hiyo kampuni na walimuona anafaa hata katika communication skills na kutumia computer akapewa nafasi hiyo,baada ya miezi kadhaa katika hicho kiwanda cha kutengeneza mafuta akiwa kama secretary wa ofisi,siku moja mmiliki wa kiwanda akaja kutembelea kiwanda chake na hakumkuta meneja akamkuta secretary ambaye ni james,james akampokea mkurugenzi vizuri na kuanza kumzungusha kumuonesha shughuli zinazoendelea na namna walivyoweza kupunguza cost kwa kuminimize overtime,alimtreat vizuri sana,baada ya kumaliza kumzungusha mkurugenzi na kuanza kumsindikiza aende zake mkurugenzi akamgeukia james na kumuuliza ,
mkurugenzi;'we umeanza lini hapa kazi?'
james ;akajibu nina miezi sita'
mkurugenzi;una elimu gani?
James;nina bachelor degree ya marketing
mkurugenzi;haya acha kila kitu tunaondoka wote kwenda makao makuu'
james alipofika makao makuu akakabidhiwa kiwanda kipya kilichokuwa ndio kimeanzishwa awe meneja,akapewa na gari la kutembelea,
aliendelea kufanya kazi hapo akaamishiwa nchi takribani 3 kwa ajili ya kufungua matawi ya hicho kiwanda,alienda congo,rwanda na kenya.baadae akaja tanzania ili kufungua tawi tena lingine,hapo alikuwa ameshaoa tayari akiwa rwanda kabla ya kurudi tanzania.
James alichangia sana kampuni kufanya vizuri na kupata faida kubwa,lakini kwake yeye maisha yalikuwa yakizidi kuwa magumu,kodi ya nyumba kila mwaka inapandishwa,school fees za watoto nazo juu,mahitaji ya msingi nayo juu,mshahara kwake ukawa haumtoshelezi,akirudi nyumbani umeme umekatwa kwa kutolipia na mke wake anakuwa mbogo,anachachamaa.ilipofika mwaka 2007 akaamua kuacha kazi ili ajiajiri mwenyewe akiwa na akiba ya dola 1000 tu.akawa anachukua mafuta tanzania ya kupakaa anasafirisha kupeleka uganda,akaifanya katika kila mwezi akawa namuachia mke wake shillingi laki 2,baada ya muda mtaji wake ukafikia zaidi ya millioni 10,siku moja alipokuwa amefika uganda mzigo wake ukazuiwa usitoke bandarini,ulikaa takribani siku kadhaa kilka akijaribu kuutoa unazuiwa,akaamua kuchukua hatua nzito akaongea na watu siku moja usiku akachukua gari la mizigo na kwenda bandarini wakauvukisha mzigo kwa njia za panya na ndio ikawa ponapona yake,akaenda kuuza na ukawa mwisho wa kufanya hiyo biashara,akaanza kufanya biashara ya samaki akija kuchukua dar na kupeleka katika hotel za uganda,biashara ilikuwa ikimuingizia zaidi ya dola 2000 kwa wiki akaendelea kuifanya.
Akakutana na wafanyabiashara wengine akajiunga nao wakaanza biashara ya logistics wakwa wansafirisha mizigo africa mashariki na kati na akapata tenda ya kusupply katika viwanda vilivyopo tanzania na uganda na value za contract ni billions of tsh per month, pia kwa sasa anamiliki malori ya mizigo.na ana magodown makubwa dodoma ,arusha na mwanza.
Huyo ni james ana miaka 38 kwa sasa.