Mgengeli
Senior Member
- Sep 23, 2011
- 193
- 13
wana JF,mimi ni dereva wa lori lifanyalo safari za nje,siku ya jana nilikuwa ktk kazi zangu nikiwa eneo ya Kimara nyuma yangu kulikuwa na gari lenye maandishi NW MUV,mbele yangu kukawa na gari la abiria ikabidi nimzuie,baadaye alipita akanionyeshe kidole.