meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,832
Kuna matangazo yanaendelea huku Arusha kuwa Mr Eddo anapanga kufanya fundrising katika shule yake ya zamani Arusha Secondary School.
Amewataka wale wote waliosoma shule hii kujitokeza na kumuunga mkono.
Kazi kwenu wana wa Arusha sec!wazee wa mapisi!
Amewataka wale wote waliosoma shule hii kujitokeza na kumuunga mkono.
Kazi kwenu wana wa Arusha sec!wazee wa mapisi!