Nilikuwa kwenye hiace kuna wadau kuna jambo walikuwa wanajadil ,lakin wakawa wanamtaja wazir amimm,nimejarb kuangalia kwenye kalenda yangu hilo jina sijaliona.
Ndugu wana JF naleta kwenu jamvini mjadala huu naomba kupatiwa majibu, napenda kufahamu hatma ya yule Kamanda aliyepiga picha na Lema kule Mererani je bado yupo kazini au ndo ivo tena kibarua...
nilikuwa ninaangalia kipindi cha tuongee asubuhi star ccm tv nililifurahishwa na huyu jamaa jinsi alivyokuwa anachangia,alionga hivi nanukuu kuna hawa watu wanaitwa masprit doctors kama nape vile...
Posted: 29th December 2012 by MillardAyo in News
4
Hapa ndio TAZARA pa kuondokea.
Ni DMM 88.5 yani Dar mpaka Moro huku 88.5 ikiwa ni namba rasmi kwa kila mwanafamilia wa CLOUDS FM Dar es...
Kwa siku kadhaa sasa, wizi wa kutisha unafanywa na raia wa kigeni katika benki kadhaa nchini, hasa NBC. Akaunti za wateja wengi zimekombwa kabisa fedha, na sasa kuna malalamiko mengi kutoka kwa...
Naombeni tujadili hii maada ili tutoe mapendekezo kwenye JUMUIYA za KIDINI na SERIKALI namna yakuokoa ELIMU ya WATANZANIA wote.
Ni kweli ubora unazingatiwa lakini imefika mahali TUJIMULIKE na...
Ni kweli wala sio tetesi imebainika bila shaka rais kIKwete alicheka sana karibu mbavu kuvunjika mara baada ya naibu waziri elimu MULUGO kutoKujua tanzania imeundwa na muungano wa nchi zipi.
Wakuu nipo kwenye daladala hapa maeneo ya kimara stop over magari hayaendi mbezi wala kuja ubungo nasikia kuna lori limepinduka na kuziba njia yoyote mwenye taarifa atuhabarishe
Wanajopo utafiti mdogo nilio ufanya nimegundua, Wanaume wengi wa Kingoni wanapenda kuoa wanawake wa Kichagga, pia utafiti mwingine nilio ufanya wanawake wengi wenye asili ya Africa wanapenda...
Siku ya kufunga mkutano wa chaguzi za ccm pale DODOMA, hotuba ya Karume ilipokelewa kwa mtazamo tofauti miongoni mwa wana ccm, hasa alipoonekana kutofautiana na kauli ya KIKWETE aliyowahi kuitoa...
Ninapenda kuchukua nafasi hii kuutaarifu umma kuwa usalama wa Pesa za watanzania katika benki ya NBC si wa uhakika.
Kuna wizi wa ndani kwa ndani unafanyika katika account za wateja. Nipende...
UJUMBE WA SIMU YA MKONONI NILIOPOKEA KUTOKA KWA PASCAL CASSIAN...LEO MCHANA MAJIRA YA SAA NANE
"Wapendwa mungu mkubwa nimepinduka na gari natoka Mbeya kwa huduma nimeumia mguu mmoja kavunjika yote...
Kijana aliyetambulika kwa jina la Abdallah Salumu wa miaka 18, mkazi wa Charambe Mianzini, Wilaya ya Temeke alikutwa akining'inia chumbani kwake, akiwa amejifunga kamba aina ya katani...
Nafatilia mjadala huu hapa naona kweli wanahabari wanatakiwa kuacha kutumika kishabiki na wanasiasa wajali taifa kwanza
Wanasema hapa kuwa gazeti la mwanahalisi kufungiwa ni sahihi lilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.