vbanda viwili vilivyojengwa katika stend ya mabasi MLANDIZI vigTsh milion kumi na nne, ina maana kila kimoja kimetengenezwa kwa thamani ya shilingi milion saba kwa mujibu wa takwimu za halmashauri ya wilaya ya Kibaha ambao ndio waliojenga na kumiliki stend