Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hio ndio saikolojia ya mwanadamu Sasa inaweza kuwa yeye ndio mtumiaji wa mashoga, anafir wanawake, yeye ndio shoga mwenyewe au anapenda kuangalia pornographia za mashoga.
5 Reactions
13 Replies
137 Views
Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya Iringa limeshiriki katika Kliniki ya Ardhi Mkoa wa Iringa inayoendelea kufanyika katika Manispaa ya Iringa kuanzia tarehe 20 Septemba hadi 03 Oktoba 2026, kwa...
0 Reactions
0 Replies
17 Views
Kwanza nawasalimu kwa jina la Chama Pendwa CCM.... Yaani penda usipende CCM imebeba matumaini yako kama mtanzania. Tukirudi kwenye lengo la uzi ni kwamba nimeshangazwa sana na watu...
23 Reactions
121 Replies
15K Views
Nishakubaliana na hali ya nchi yetu kwenye upande wa customer service ila hii ya mtu kunihudumia huku anaongea na simu very relaxed aisee huwa natamani nimrukie nimpige vichwa af niondoke zangu...
2 Reactions
3 Replies
58 Views
Hivi huyu ngiri mwenye mandevu kwanini anadekezwa sana kwenye hii nchi? Anadekezwa kama nani? Ana umuhimu gani? Hii ni nchi inayoongozwa na sheria sio Ardhi ya Mbambadu. Hata vile nilisikia ati...
13 Reactions
88 Replies
1K Views
Familia ya aliyekuwa mwalimu wa Shule ya Sekondari Karansi, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, imelazimika kulala nje kwa siku sita baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kufungwa na mali zao...
21 Reactions
170 Replies
2K Views
Kazi ni kipimo cha utu je, unatumia standards gani kupima ubora wa kazi? Tumesikia mara nyingi watu wanasema fulani kafanya kazi chini ya kiwango 1.Wewe mfanyakazi,mwajiri, n.k 2.Mkulima, mfugaji...
5 Reactions
63 Replies
264 Views
🔥 UZINGATIE HUU UZI KABLA HUJAPITA… Kuna muda unafika kwenye maisha ambapo unaacha kulalamika, unaacha kujitetea, unaacha kuwaeleza watu kila kitu. Unakaa kimya. Sio kwa sababu huna cha...
5 Reactions
13 Replies
136 Views
Huu ndio utajiri wa kutisha na wa kweli uliopo kwenye biashara ya jezi za mpira kwa sasa! Tukipiga hesabu za haraka kwa kutumia takwimu rahisi, hizi hapa ndizo namba zinazouma na kufurahisha kwa...
12 Reactions
75 Replies
935 Views
BIMA YA MAISHA NI NINI Bima ya maisha ni mkataba kati ya mteja ( mteja binafsi au kampuni ) na kampuni ya bima ya maisha , ambapo mteja Kwa kulipa ada kidogo kidogo au Kwa mkupuo , anafidiwa (...
0 Reactions
0 Replies
24 Views
  • Redirect
Hi! Whats'up? Wochi bela baki? Sasa basi, kufuatia hii hamasa ya kulinda migongo iliyoanzishwa na yule jamaa, ninaomba kujuzwa mambo kadhaa:- Naomba wale manguli wa ushoga wanijibu maswali haya...
0 Reactions
– Replies
– Views
Anonymous
Tumekuwa tukiona juhudi za kuboresha maeneo ya biashara kwa wafanyabiashara wadogo kwa kuwekwa vibanda vya maturubai na wakati mwingine kuezekwa kwa bati kwa gharama zinazotolewa na...
1 Reactions
0 Replies
18 Views
Natafuta mchumba Sifa: Awe mrefu Maji ya kunde Ajue kusoma na kuandika Awe na moyo wa biashara kulala sipendi Uaminifu uwepo Mengineyo tutashauriana Atakapokuwa awe tayari kuonana nami Ingia pm...
0 Reactions
6 Replies
983 Views
Nino Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limefanya marekebisho ratiba ya mitihani ya kitaifa na upimaji iliyotakiwa kufanyika Oktoba na Novemba mwaka huu. Akizungumza leo Ijumaa Septemba 25, 2026...
0 Reactions
11 Replies
335 Views
UMASKINI NI MAAAMUZI... mungu aliumba utajiri na umaskini ila akumuumba mtu maskini wala tajiri .......kwaiy vyote ni maamuz yako na yote yanawezekana tufanye kazi vijana. Lazima tuwe matajiri
0 Reactions
2 Replies
46 Views
  • Redirect
Nimepata mstuko mkubwa Sana leo baada ya kuangalia wasapu sitatasi ya mke wangu nileyapata nae watoto 2 na kukuta amechapisha picha ya Baba mtoto wake na jumbe za malovee, Huku wakininanga na...
4 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Sisemi Dudu baya alisha liwa au la, ninachosema hapa ni kwamba akilini mwake ana trauma ambayo anaisuppress kwa nje kwa kufanya attacks zisizo na maana dhidi ya watu anaowafikiria namna...
2 Reactions
– Replies
– Views
Hii ni picha yangu bora zaidi kwa miaka yote, si kwa sababu ya uzuri wake bali kwa sababu ya somo kubwa lililofichwa ndani yake. Sisi binaadamu mara nyingi tunaamini kwamba mtu mwenye hali ya...
0 Reactions
6 Replies
135 Views
Nitoe agizo kwa wenye mamlaka, huyu dudu baya wa wochi bela baki anastahili adhabu kubwa na kali sana kuliko adhabu yoyote iliyowahi kutolewa kwa msanii yoyote Tangu kuumbwa kwa Tanzania...
2 Reactions
99 Replies
834 Views
kero ni kitu kinachokera sijatoa tafsiri lakini kila mtu ana kero kwa wengine na yeye pia anaweza kerwa. kama unakera jua unakerwa pia. je, ni kero gani inakukera sana inaweza kuwa moja au...
1 Reactions
3 Replies
42 Views
Back
Top Bottom