Kiuhalisia kuna nguzo nne tu za Uislamu.

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,512
Reaction score
109,886
Kwa mwaka ni Waislamu milioni mbili tu ndio huenda Hija Mecca kati ya Waislamu bilioni mbili duniani kote na hiyo inaifanya Hija kama nguzo mojawapo ya Uislamu kuwa nadharia zaidi kuliko uhalisia.

Nguzo ya tano ya Uislamu ni kwa ajili ya matajiri na walio karibu na Mecca.
 
Kuna mtu anakaa mji huo huo Mpaka anakufa hajaenda hija

Ni Sawa Sawa Tu na Yule ambae msikiti upo karibu yake na haswali
 
Kunamasuala ya kujiuliza kwanza yaani kwanini niende hija? Kufanya Nini? Kusamehewa dhambi? Kumuadhibu Shetani? Kutimiza agizo la Mtume? Naenda kufanya Nini na kwanini niende? Hayo kwanza alafu pia kujiuliza umuhimu wa kwenda ni upi hakuna sababu za msingi zaidi za kwenda hija tofauti na Quran pekee ndio maana kadiri miaka inavyoenda ipo siku ulimwengu utasahau kabisa kuhusu Hija na Mecca mola atusaidie yarab
 
Kwa hyo Mungu ana ubaguzi?
Ikiwa mtu A ameenda macca kwa sababu ana fedha na amemudu kwenda anasamehewa dhambi Na vi pi mtu B ambae ameshindwa kwenda kwa sababu hana nauli dhambi zake hatasamehewa,,
In logic ? Lengo la kwenda macca n lipi?
 
Uislam hautaweza kushindana nao kwa kelele, kejeli, matusi au maandishi wala chochote kutoka kwako au kwa mwingine yoyote dunia hii
Chuki yako dhidi ya Uislam inakuumiza wewe kuliko Waislam bilion 2
Unezaliwa uliukuta na utakufa Uislam utabaki bila athari yoyote kutoka kwako

Hapo hujala, hujalala unauwaza Uislam wakati carrot ya mia 3 inakuliza

Get a life bro!
Endelea na upagani wako!
 
Uislam hautaweza kushindana nao kwa kelele, maandishi wala chochote kutoka kwako au kwa mwingine yoyote dunia hii
Chuki yako dhidi ya Uislam inakuumiza wewe kuliko Waislam bilion 2
Unezaliwa uliukuta na utakufa Uislam utabaki bila athari yoyote kutoka kwako

Hapo hujala, hujalala unauwaza Uislam wakati carrot ya mia 3 inakuliza

Get a life bro!
Endelea na upagani wako!
Hata Ukristo na Uhindu pia
 
Kwa hyo Mungu ana ubaguzi?
Ikiwa mtu A ameenda macca kwa sababu ana fedha na amemudu kwenda anasamehewa dhambi Na vi pi mtu B ambae ameshindwa kwenda kwa sababu hana nauli dhambi zake hatasamehewa,,
In logic ? Lengo la kwenda macca n lipi?
Mtu masikini aombe msaada wa tajiri
 
Hata Ukristo na Uhindu pia
Yes
Endelea kushabikia ushoga na ulawiti, ndilo unalojijua

Wenzio wengi walianza humu JF tangu 2006 na huko nje duniani

Wameshindwa

Na wewe hutakuwa wa mwisho

Uislam utabaki kama ulivyo tangu awali na idadi itaongezeka
 
Kwa mwaka ni Waislamu milioni mbili tu ndio huenda Hija Mecca kati ya Waislamu bilioni mbili duniani kote na hiyo inaifanya Hija kama nguzo mojawapo ya Uislamu kuwa nadharia zaidi kuliko uhalisia.

Nguzo ya tano ya Uislamu ni kwa ajili ya matajiri na walio karibu na Mecca.
Hakuna nguzo hata moja, hayo yote ni ubatili mtupu.
 
Kwa mwaka ni Waislamu milioni mbili tu ndio huenda Hija Mecca kati ya Waislamu bilioni mbili duniani kote na hiyo inaifanya Hija kama nguzo mojawapo ya Uislamu kuwa nadharia zaidi kuliko uhalisia.

Nguzo ya tano ya Uislamu ni kwa ajili ya matajiri na walio karibu na Mecca.
Kwamba wanaoenda hijja ni matajiri tu?..swala nayo ni nadharia tu, maana katika waislam billion mbili wachache sana huswali
 
Back
Top Bottom