Unakuta mtoto anatukana matusi kama mtu mzima
Ukimuelekeza kitu haelewi,
hakana adabu kajinga jinga tu halafu yuko na mzazi wake anachekelea that's not good
Mzazi mfundishe mwanao maadili mema.
Kwa nini Watanzania wanaogopa kusema "ngono" au "kutombana" badala yake wanasema tendo la ndoa (act of marriage) ?
Unakuta watu hata hawajaoana wanasema walifanya tendo la ndoa!
Ajabu ni kwamba...
pambano la kutisha chini ya maji. 🌊
Honey badger anajulikana kwa ujasiri wake wa ajabu—mnyama ambaye ni vigumu kumtisha hata anapokabiliana na hatari kubwa. Lakini safari hii, anakutana na adui...
Sr. Dkt. Sarah Kahumbya Deogratius, Mkurugenzi wa Hospitali ya Kardinali Rugambwa nchini Tanzania, ametajwa kuwa mpokeaji wa Tuzo ya Else Kröner Fresenius ya Ushirikiano wa Maendeleo katika Tiba...
Nawasalimu nyote.
Nipo Kwa majumu ya kikazi katika kata flani ambayo ina wakazi wengi na imechangamka kwa kiasi cha kuridhisha.
Changamoto nikwamba kata hii haina gulio au soko ambalo...
Katika taarifa zetu tulizozipata Toka kwa wadau wetu ni kuwa takribani wiki mbili Sasa tangu CIVILIAN-COIN awasilishe Nyaraka za kubadili jina la kwanza kwenye NIDA iliyopo. Nyaraka tulizoziona ni...
Acha Kiherehere cha Kutaka Kuona Yasiyoonekana
Utazika Furaha Yako Milele!
Watu wengi mpo hai na mna amani kwasababu tu Mungu amewaziba macho msione uchafu na uozo unaowazunguka.
Mnaishi kwenye...
Kuna watu wanatafuta hela kwa nguvu, lakini hela ikiingia tu inatafutwa starehe.
Leo unakopa ili uonekane una maisha. Kesho unahangaika kutafuta hela ya kurejesha deni. Mzunguko unaanza tena...
Nakumbuka siku moja nikija kwenye msoto na ukata + jobless,nimekaa zangu nasikiliza redio flan kipind cha michezo. Mara likatolewa TANGAZO LA KAZI,nikaona fursa hii hapa,nikanakiri zile namba...
Kumekua na wimbi la wadanganyika wakiamini kuwa AZUMA ( Azithromycin ) ni dawa za kutibu UTI .
Hii kitu imesambaa sana kiasi cha wimbi kubwa la watu wakizibugia kama pipi , huku wakiamini...
Ni imani kubwa unapotaka kusafiri unapanda basi ambalo haujui dereva ni nani kama kichwani ni mzima au sio mzima , hata uzima wa hilo basi unakuwa haujui lakini wengi tunaweka imani mbele ...
Kwa zaidi ya wiki moja nimekuwa nikihisi kana kwamba kuna mdudu anatambaa tambaa kwenye bega langu la kushoto. Nikipapasa sehemu hiyo sioni kitu. Leo nikasema "enough is enough"(yatosha sasa)...
Jana usiku majira ya saa sita usiku kuna kijana wa kiume umri miaka 24 ni member mgeni akiwa na posts 9 tuu, alipost akitangaza kuwa yeye ni shoga na anatafuta basha.
Kwa muda mfupi kabisa post...
Kumekuwa na tabia ya kutukana vijana wenye maisha mazuri kuwa wanahongwa au wanashogeka ndiyo sababu ya kupata maisha mazuri
Tabia hii itaongeza idadi kubwa ya mashoga kwasababu si ngumu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.