Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hii vita bashite hawezi kushinda kwa ninavowajua Hawa GSM kwa sasa nguvu Yao ni kubwa na Wana ushawishi kwa mama kizimkazi kumzidi Albert bashite.
4 Reactions
34 Replies
662 Views
Wananchi wa Mkoani Njombe wamepata hati miliki za makazi kupitia Ardhi Kliniki, kwa kutumia mfumo wa kidigitali wa e-Ardhi ambapo zoezi hilo limefanyika Mtaa wa Idundilanga kwa ushirikiano wa...
0 Reactions
0 Replies
18 Views
Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Manyara, Bwn. Erick Makundi, akikabidhi hati kwa mmoja wa wananchi waliojitokeza kupata huduma katika Kliniki ya Ardhi ya Mkoa, inayofanyika katika Viwanja vya...
0 Reactions
0 Replies
40 Views
Unakuta Google Pixel 6 au Pixel 7 ya mtumba inauzwa TSh 400,000 hadi 650,000 Bongo. Ukipiga picha hapo hapo dukani, inakupa muonekano safi kuliko hata Iphone ya milioni mbili. Unainunua kwa...
3 Reactions
6 Replies
97 Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema Serikali inalenga kuifanya TBC kuwa chombo cha habari cha kimataifa, ili kuiwezesha dunia kufahamu mambo mbalimbali...
4 Reactions
19 Replies
292 Views
Wakuu Habari za Uzima, Binafsi Napenda Kusoma Threads Nyingiii humu JF Na Ku-Like, Kuna Watu wanavyo'Coment Huwa Nakaa Najifikiria weeh Like ni kama Mashetani., Mimi kama Binaadamu Ninayependa...
4 Reactions
35 Replies
242 Views
Mjane wa Mkuu wa Mkoa wa kwanza wa Shinyanga, Mariam Mongi (86), ambaye ni mmoja wa wamiliki wa eneo lenye ukubwa wa ekari 10 lililopo Madale, Mtaa wa Scout, Wilaya ya Kinondoni, amesema...
1 Reactions
30 Replies
554 Views
ESS haifunguki Leo kutwa nzima Kuna Shida gani..?
4 Reactions
8 Replies
159 Views
W izara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefanya marekebisho ya ratiba ya upimaji na mitihani ya Taifa kwa mwaka 2026, kwa lengo la kuzuia athari zinazoweza kujitokeza kutokana na uwezekano wa...
0 Reactions
1 Replies
153 Views
Lisu ni Icon ikitokea tu court imesema Lisu anyongwe hadi kufa vita lazima itokee wananchi wengi wanahasira sana na yanayoendelea kwenye serikali dhalimu ,isiyo na haki ya ccm
6 Reactions
14 Replies
378 Views
Lissu shikamoo Wewe ni mwamba wa sheria nchini. Unaona vitu ambavyo akili yetu haijaviwaza Lissu ameeleza kuwa kwenye hati ya mashitaka haikuelezea na Kwa jinsi Gani serikali ilitishika hakuna...
21 Reactions
35 Replies
745 Views
Kifuani ana screen..... Unaona kama a akupenda au anakudanganya. Hapo ana macho kama ngumi, bikra kila unapomaliza inajirudi. https://www.instagram.com/reel/DdnzJVFu5qJ/?stkn=MXEzaWllcGd4M253MA==
10 Reactions
23 Replies
282 Views
Tunapofikiria mwaka 2035, ni rahisi kufikiria magari mapya, majengo marefu na teknolojia kubwa. Lakini swali muhimu zaidi ni mtu wa kawaida atakuwa anahitaji skills gani? Teknolojia inaweza kuwa...
1 Reactions
1 Replies
35 Views
Niungane tu na mheshimiwa makonda moja kwa moja jersey zile hazijashiba kile tunachotaka kuwaonyesha wageni wetu. Hii ndiyo sandaland alitaka tuwe nayo! But why not this one!
3 Reactions
29 Replies
211 Views
Usikute kuna kilaza anadhani swali langu limeuliza " Je ndani ya Qur'aan kuna Aya inayosema Yesu ni Mungu? ". Hiyo sio mantiki yangu. Analogy au mfanano wa mantiki yangu ni kama ifuatavyo. 👇👇👇...
2 Reactions
14 Replies
244 Views
Habar za mda huu wadau mimi ni dalali wa vyumba viwanja frames hostels na ofisi nilianza rasmi 2024 sasa nimewaza nataka nijiweke kisasa naomba nitapataje kibali au leseni ya udalali nataka huu wa...
0 Reactions
0 Replies
25 Views
Kuna sintofahamu imeibuka baada ya Greda la Manispaa ya Moshi alilokuwa akilitumia mbunge wa jimbo la Moshi mjini ,Ibrahim Mohamed Shayo kukarabati barabara za pembezoni mwa jimbo lake kudaiwa...
1 Reactions
0 Replies
54 Views
Wahudumuwa benki wanaongea kama hawataki wakati wanatoa huduma, mdada hapo anawaonya la sivyo tableti ya kichwa itawahusu
0 Reactions
0 Replies
37 Views
Msikize kwenye video hapo 👇
0 Reactions
1 Replies
30 Views
Back
Top Bottom