a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 3,870
- 4,470
Ujumbe Mkuu
"Enyi wanaume, jithunzeni na mjijali. Hakuna mtu atakayewafanyia hilo!"
Ukweli wa Hali Halisi:
Mara nyingi wanaume hufariki dunia kabla ya wake zao.
Hali hii si jambo la kimaumbile, si hatima, wala si suala la vinasaba (genetics);
badala yake, ni kwa sababu wanaume wengi wanajiuwa wenyewe polepole bila mtu yeyote kuzungumzia suala hilo.
Mzigo wa Majukumu: Mwanamume hufariki mapema kwa sababu anageuka kuwa mtoaji (provider), mlinzi, na mtatuzi wa matatizo, lakini anaacha kuwa binadamu wa kawaida. Anabeba shinikizo kimya kimya, anaona msongo wa mawazo ni kitu cha kawaida, na anabeba hofu kana kwamba ni wajibu wake bila kuitoa.
Jamii na Mtazamo: Jamii imemfundisha mwanamume kwamba "mwanamume wa kweli halalamiki". Matokeo yake, badala ya kutafuta msaada, wengi hugeukia unywaji pombe, uvutaji sigara, kula vibaya, kulala kwa kucheza, kuamka mapema sana, kufanya kazi kama mtumwa, na kujidanganya kuwa "niko sawa" wakati ndani kwa ndani wanavunjika.
Hali ya Kudumu ya Kupambana,kujikaza KUJITUTUMUA/Hatari (Survival Mode): Wanaume wanaishi katika hali ya kukabiliana na changamoto kila siku (bili, kodi ya nyumba, ada za shule, matarajio ya familia, shinikizo la kazi, mikopo, na msongo wa biashara). Mbaya zaidi, akiwa na msongo wa mawazo, hakuna anayemuuliza "unaendeleaje?", bali wanauliza swali moja tu: "Umefanikiwa,tunakutegemea utatue matatizo YETU,unatusaidiaje, tunakutegemea?"
Upendo na Thamani: Mwanamume hapendwi kwa jinsi alivyo, bali anapendwa kwa kile anachoweza kutoa. Hii inasababisha aendelee kusukuma KUJITUTUMUA**mpaka mwili wake uporomoke (shinikizo la damu, mshtuko wa moyo, kiharusi, au kufeli kwa figo), na watu akifa kwa matatizo hayo watu wanaishia kusema ,siku zake zilifika. "ilikuwa ni wakati wa Mungu", wakati kiuhalisia ilikuwa ni **msongo wa mawazo uliopitiliza.
Mahusiano na Maisha ya Ndoa:
Wanaume wengi wanaishi na wanawake wanao wamalizia nguvu za kihisia—kila siku malalamiko, hakuna amani, hakuna heshima, hakuna shukrani, na kila siku ni ugomvi. Hali ya kurudi nyumbani kutoka kazini na kukutana na mazingira ya aina hiyo inaua kwa kasi kuliko risasi.
ANGALIZO
OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA mwenye hofu ya Mungu,mwenye akili ya MAISHA ,mwenye kujua thamani na kumuheshimu mume wake,mwenye UPENDO WA KWELI mvumilivu,anayekujali katika hali zote,wife material
1 Kor 13:4-13
Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya; haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli; huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote. Upendo haupungui neno wakati wo wote;
Kujipuuza Kiafya: Wanaume hupuuzia uchunguzi wa afya, dalili za magonjwa, na ishara za onyo dalili za hatari za magonjwa, kwa sababu ya kiburi,kupuuzia magonjwa
Kinyume na ilivyo kwa wanawake Wakati mwanamke akiumwa kidogo TU hata kidole TU atakimbia hospitalini, mwanamume atapotezea atasema "siyo kitu,Niko poa ,Mimi siumwi " hadi pale atakapo zidiwa sana na kuumwa UGONJWA,hali inapokuwa mbaya ndipo atatafuta msaada au atakokotwa KULAZIMISHWA kupelekwa hospitali na watu WA karibu kwa nguvu.
Wanaume Wanafundishwa kuwa na nguvu lakini KUJIKAZA KUVUMILIA MATESO hawafundishwi kuwa na afya; wanafundishwa kutoa kutafuta kwa AJILI ya kuwahudumia wengine lakini hawafundishwi kupumzika.
*Ushauri wa Hitimisho Rai kwa wanaume:
Acheni kujifanya hamshindwi wala hamfi (invincible); miili yenu si mashine.
wanaume ni mwanadamu sio kwamba ana mwili WA chuma ,wengine wanajiita mwamba,masta,chuma,mashine..lakini bado mwanaume sio chuma Wala sio ROBOTI.
Laleni vizuri, kuleni vizuri, fanyeni mazoezi, nendeni hospitali kukagua afya, punguzeni msongo wa mawazo, na mtafute maisha yenye amani. Hili halina mjadala, kwani mwanamume asiye na amani yuko hatarini.
AMANI ya MOYO wako ni muhimu kuliko chochote.
OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
vijana WA kiume,OA mwanamke ambaye atakupa amani na UPENDO,ambaye hatakupasua kichwa atayekufanya ujione Bora,atakaye kufanya ukue,atakaye kuheshimu,atakayekujali na kukuthamini katika hali zote,sio siku ukifulia anasema mwanaume Gani huna hela ,kukosa hela hakukufanyi usiwe mwanaume,kwenye maisha kuna kupanda na kushika ,kuna wakati WA JUA na wakati WA mvua na kivuli,wakati WA kupanda na wakati WA kuvuna.
Kesho YETU ni ya Mungu,tunamtumainia Mungu mwenye nguvu anayetupa uhai aliyetujua kabla hatujazaliwa ametuchora katika viganja vya mikono yake anayejua hata hesabu ya nywele za kichwa chetu,
Mungu hajatuacha safari ya mafanikio Ina miiba ,NJIA ya kwenda mbinguni Ina miiba na imesonga,hakuna kinachokuja/patikana kiurahisi,..wanaume WA WA Israel walipotolewa MISRI Mungu aliwapa KAANANI lakini ,kuingia kanani walipamba na MAJITU marefu,DAUDI alipakwa mafuta akiwa kinda aje kuwa mfalme,lakini kufikia huo UFALME KATIKATI kulikuwa na GOLIATH majitu marefu.
Yusufu aliota NDOTO ya kuja kuwa waziri mkuu,Mungu alimuonyesha atakuwa mkubwa NDOTO kubwa aliyobeba maono hayo makubwa..lakini KATIKATI kulikuwa na kutupwa Shimoni kusalitia na kuuzwa na ndugu zake WA damu aliowapenda Tena aliyokuwa akiwaoelekea chakula,KATIKATI kulikuwa na kwenda jela kwa makosa ya kusingiziwa kumbaka mke WA POTIFA ,akiwa jela aliwatendea WEMA watumishi WA mfalme waliofingwa jela pamoja naye lakini walipotoka wakamsahau kwa kipindi kirefu..na Mungu alimjaribu akamuacha kwa kipindi kirefu gerezani bila kosa..
Baadae akaja kuibukia IKULU kutoka kuwa mfungwa mpaka kuwa waziri mkuu.
VIJANA ACHENI KUKIMBILIA TAMAA ZA MAFANIKIO YA HARAKA HARAKA kwa kufanya mambo yasiyo halali
Shetani fremansory waganga WA kienyeji kutambika mizimu Ina MAFANIKIO ya harakaharaka sio kama Mungu anavyomuandaa MTU muda MREFU kabla ya kumpa MAFANIKIO akiwa anampika akomae kuja kumiliki MAFANIKIO.
Lakini MAFANIKIO ya haraka HARAKA kwa rushwa,magendo,ushirikina,wizi,utapeli Yana ondoka harakaharaka pia ,na shetani Hana kitu Cha Bure na shetani Hana urafiki WA kweli na mwanadamu,Yana gharama kubwa.
1 Tim 6:10
Maana shina moja la mabaya ya kila namna ni kupenda fedha; ambayo wengine hali wakiitamani hiyo wamefarakana na Imani, na kujichoma kwa maumivu mengi.
Muamini Mungu ,kama Yusufu,hata kama kuna watu wamekusaliti kama Yusufu alivyosalitiwa na ndugu zake,
Mungu anakuwazia mema,usiruhusu uovu waliokufanyia watu uamue hatima Yako.
Nimeona watu wanauana kisa kasalitiwa,kisa mapenzi,kisa kuzulumiwa..
KESHO Yako iliyo njema anayo Mungu.Mungu anaandaa meza kubwa mbele ya watesi WAKO,mwisho WA UBAYA ni aibu,lipa UBAYA kwa WEMA.
Waombeeni wanaowaudhi,wapendeni adui zenu
Ayubu alipona uteka wake kwa kuwaombea rafiki zake waliokuwa wakimcheka na kumdhihaki wakati akiwa ANAPITIA MAJARIBU ili hali wakati WA raha akiwa mzima na mwenye MAFANIKIO walikuwa wakifurahi pamoja(PATA SHIDA NDIO UTAMJUA RAFIKI WA KWELI,UKIWA NA MAFANIKIO MARAFIKI NI WENGI)
Mwa 50:20-21
Nanyi kweli mlinikusudia mabaya, bali Mungu aliyakusudia kuwa mema, ili itokee kuokoa taifa kubwa, kama ilivyo leo. Basi sasa msiogope; mimi nitawalisha na watoto wenu. Akawafariji, na kusema nao vema.
Kwa AJILI ya amani ya moyo WAKO ni Bora kuachilia vinyongo na chuki moyoni mwako na visasi.
Na kama UMESHINDA KUPATA amani ya moyo kama ukiona sehemu haukaribishwi haupokelewi not well coming KWAKO, Bora ukun'gute mavumbi ya miguu Yako UONDOKE.
Vijana WA kiume pia wajifunze kuachia ,ujifunze kuondoka na kuondoa watu moyoni ambao hawathamini UPENDO WAKO,kubali kuachwa kubali kukataliwa..usidhuru MTU Wala usijidhuru,kwa kukataliwa hata kama umegharamia.
Huwezi KULAZIMISHWA MTU akufungulie mlango WA moyo wake,mwanamke kama hakupendi na hakutaki achana naye ,achilia moyoni,kunguta mavumbi ya miguu Yako nenda.UPENDO WA KWELI HAUNUNULIKI hata UMUHONGE DUNIA hii yote sana sana atachukua pesa kwako atampelekea anayempenda yeye,tena atampea Bure kabisa huwezi kumbadilisha,kama mwanamke hakupendi basi JUA kuna mwingine ANAYEPENDA ambaye siyo WEWE
OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA(zingatia hili Kijana WA kiume)