Amsons Group, kampuni kubwa ya Kitanzania yenye uwekezaji katika sekta mbalimbali, imeingia makubaliano ya kuinunua kampuni ya Oryx Energies nchini Tanzania, hatua inayoiweka kampuni hiyo katika...
Bila kupepesa macho star link ni internet ya ukoloni. Wazir Mwigulu lazima afahamu kuruhu Star link Tanzania basi ameruhusu vita ya baadae kuwa rahisi
Starlink ni Silaha inayolinda maslahi...
je hii ni shida au ndo maamuzi yao wazalishaji wa nyimbo hizo maana unakuta jitu linacheza club ukiliuliza ni kinaimba.
Nlasambaa, nakasolembwaa x2
kah
yaani sauti iko chini biti kuliko...
Huyu anajiita Mromani Katoliki, huyu yeye ni mfuasi wa mafundisho ya Warumi na miungu ya Kirumi, si mfuasi wa mafundisho ya Yesu Kristo. Ndio maana hata akitaka kubatizwa, atabatizwa kama...
Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro limeendelea kutekeleza majukumu yake ya kikatiba katika jukumu zima la kuimarisha ulinzi na usalama wa Mali na maisha ya watanzania
Katika kipindi cha Septemba...
Wajomba zako , ndugu n.k hawajakunyima connection hizo lawama ni za bure , kumbuka hawana kampuni ,kiwanda wala biashara iliyosimama. Mara nyingi vijana, wanalaumu sana ndugu , wajomba n.k
Ila...
Hivi mmeiona hii video ya tukio la mauaji yaliyotokea Jumamosi iliyopita kwenye duka la Boxer huko eShowe, KwaZulu-Natal? Inatisha sana! Jamaa mmoja (33) aliyekuwa mfanyakazi wa duka hilo aliwaua...
Wao wanapenda sana kiswahili na kujiita majina ya kiswazi
1. Mika Mwamba
2. Mzungu Kichaa
3. Richard Mabala
Sasa njoo kwa sisi Wandengereko.
1. Ommy Dimples
2. Harmonize
3 . Diamond n.k
Wengi wanapenda Kudai:
"Yesu hajawahi kusema waziwazi kwamba yeye ni Mungu."
Kisha wanachukua vifungu vichache kama:
• "Hakuna aliye mwema ila Mungu peke yake."
• "Siku ile na saa ile hakuna...
Yesu kristo sio MUNGU na alithibitisha yeye mwenyewe kuwa sio MUNGU lakini Afrika na Italia zimeng'ang'ania uongo.
Biblia inatuambia "Yesu akakutana na kijana tajiri akamwita, Mwalimu mwema, yesu...
Mahakama ya Wilaya ya Mbeya imemhukumu Reiga Innocent (21), mchimbaji wa madini na mkazi wa Iwindi, Mamlaka ya Mji Mbalizi , kifungo cha miaka 30 jela baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka...
Kuna maelezo kuwa kutoka kizimkazi kuwa huu mtando wa JF na mmiliki wake wataunganishwa kwenye tuhuma.
Na wengine waliopo kwenye list wachokonozi,khalid ze chanzo,odemba na wengine wengi.
Na...
Matumizi ya gesi ya kupikia yameongezeka katika jamii. Hata hivyo, ni muhimu kuwa na uelewa sahihi wa hatua za kuchukua pale moto unapotokea ili kuzuia madhara na kulinda maisha pamoja na mali...
Habari,
Nimeleta mada hii kwenu baada ya mama wa watoto wangu kunieleza hadharani kwamba hawezi fanya ujinga huo,
Mama wa watoto ameniambia wazi kwamba kubadili majina yake kwenye vyeti vyake...
Tukio la mauaji linalodaiwa kusababishwa na wivu wa mapenzi limetikisa Kijiji cha Mapinduzi, Kata ya Kigwe, Wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma, baada ya mwanamke mwenye umri wa miaka 58, Clementine...
Ili utambulike kua wewe mwanaume ni msanii wa music inabidi USUKE NYWELE,UTOBOE PUA NA MASIKIO UVAE VIPINI NA HERENI,UVAE NGUO ZENYE MUUNDO WAKIKE? (Usani,uanamitindo ni njia ya UCHOKO)
Mahakama ya Wilaya ya Mbeya imemhukumu Reiga Innocent (21), Mchimbaji wa madini na Mkazi wa Iwindi, Mbalizi, Mkoani Mbeya, kifungo cha miaka 30 Jela baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka...
Wakuu, kila nikivitongoza vinanitupilia mbali, vinaniambia mimi ni mzee nitavipeleka wapi! Nimejaribu kuwatumia watu ila ndo hivyo havitaki, nimevipa pesa havitaki, sasa labda nikiviendea kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.