ok.🐒View attachment 3689624
Msiichukulie hii Post seriously sana .. chukua code tu afu we pita hivi..
Asante kwa ili dini la thamani mkuuView attachment 3689624
Msiichukulie hii Post seriously sana .. chukua code tu afu we pita hivi..
Nimekuelewa tule kwenye Sinia kubwa km ilivyokua zamani hii mambo ya kujichotea kwenye hotpot utajikuta unakula vichwa vya misumaali kweenye mchuzi wa dagaaView attachment 3689624
Msiichukulie hii Post seriously sana .. chukua code tu afu we pita hivi..
Sinia lazima lihusike na tunakula wote km unanitilia sumu basi bakuri ile ile uliyotia sumu na wewe utachoviya tu ule hakuna kusema hujisikii kula lazima uonje sumu uliyoiweka ndio kanuni ya SiniaHuku Mungu anawaambia ishini nao kwa akili.
We kazana kuziacha akili zako ofisini nyumbani tumia moyo matokeo utasomewa muhimbili.
Ogopa sana mtu asietumia nguvu kubwa na gharamq kubwa kufanya lake.Sinia lazima lihusike na tunakula wote km unanitilia sumu basi bakuri ile ile uliyotia sumu na wewe utachoviya tu ule hakuna kusema hujisikii kula lazima uonje sumu uliyoiweka ndio kanuni ya Sinia
Acha mawazo ya kijinga kwani sisi hatuzijui hizo mbinu rahisi na tunaweza kuwawekea pia? Bila kutumia nguvu?Ogopa sana mtu asietumia nguvu kubwa na gharamq kubwa kufanya lake.
Mbinu ziko nyingi sana
Okay nini wewe mmeshapiga hela za el nino na mvua imekataa kunyesha. Na isinyeshe dadadeki. Kazi ni wizi tu huko serikalini. Na hiyo mializeti yqko iliwe na wadudu.ok.🐒
jikite tu moja kwa moja kwenye hoja mahususi mezani bila kuweweseka na itapendeza zaidi 🐒Okay nini wewe mmeshapiga hela za rl nino na mvua imekataa kjnyedha. Nz isinyeshe dadadeki. Kazi ni wizi tu huko serikalini. Na hiyo mializeti ysko iliwe na wadudu.
Huo umuhimu wa kuingilia mawzo yangu na kuyaona ni ya kijinga kakupa nani??? usipende kujiamulia mambo bro!!Acha mawazo ya kijinga kwani sisi hatuzijui hizo mbinu rahisi na tunaweza kuwawekea pia? Bila kutumia nguvu?
Huo uzi nimetafakari sana.hawa mabinti wa 2000 watawamaliza vijana wenzao.Huku Mungu anawaambia ishini nao kwa akili.
We kazana kuziacha akili zako ofisini nyumbani tumia moyo matokeo utasomewa muhimbili.
Una uhuru lakini ukiandika upuuzi hauvumiki lazima tushuke na weweHuo umuhimu wa kuingilia mawzo yangu na kuyaona ni ya kijinga kakupa nani??? usipende kujiamulia mambo bro!!
Halafu kila mmoja ana uhuru wa kufanya jambo lolote na likatiki huko aliko bila kelele
Mimi humu hata ukishuka na mimi sishtuki!! kwa sababu key board warrior anaweza kuwa ni mtu tu yoyote pengine hana hata pa kumwagia makasiriko yake!!! hiyo huwa hainishtui.Una uhuru lakini ukiandika upuuzi hauvumiki lazima tushuke na wewe