msakhara
JF-Expert Member
- May 26, 2019
- 299
- 408
Wakati ulimwengu ukienda haraka, na watu wengine wakiangalia namna ya kuongeza ufanisi na kupunguza maudhi, Tanzania naona bado sana tunapiga marktime.
Yaani gari tumekata ticket, inayoonesha saa 1830 inawasiri ila hadi saa 2015 bado haijaja.
Na wahusika wakiulizwa jibu ni rahisi kabisa, inakuja!!!.
Hovyo kabisa..ABC bus jirekebisheni.
Yaani gari tumekata ticket, inayoonesha saa 1830 inawasiri ila hadi saa 2015 bado haijaja.
Na wahusika wakiulizwa jibu ni rahisi kabisa, inakuja!!!.
Hovyo kabisa..ABC bus jirekebisheni.