Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Redirect
Unapotaka kupigana vita yoyote, lazima uwe na mamlaka ya kimaadili ya hali ya juu sana, vinginevyo utabomolewa kila upande. Kwa taarifa zilizopo, inaelezwa kwamba, Dudu Baya na Mr. Nice walizua...
0 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Tambueni kuwa starehe yenu hio hio kwetu ni laana
1 Reactions
– Replies
– Views
Niaje wakuu, haya ni baadhi ya madhara utakayopata ukienda kutafuta utajiri kwa mganga. Utapeli wa kifedha; Waganga wengi feki hutumia saikolojia ya hofu na tamaa kuwaibia watu kiasi kikubwa cha...
3 Reactions
10 Replies
182 Views
  • Redirect
Nimesoma mijadala mingi ya atheists na wanaoamini katika abrahamic religions na kitu kikubwa nilichogundua na kuona kwenye hiyo mijadala mara zote wanaoamini Mungu yote wanazidiwa hoja Sio...
2 Reactions
– Replies
– Views
Hawa watu msiwatukane, wasikilizeni maana Wana maana Yao kusema hivyo, wengi wao wanaoamini hivyo wameamua kua hivyo kutokana na magumu na machungu waliyokutana nayo kwenye maisha na...
7 Reactions
74 Replies
2K Views
Nina freezer. Naitumia kwa kuweka vinywaji ili viwe baridi ila kila baada ya mda nakuta maji mle ndani takriban 3L-4L na hakuna kinywaji chochote kilichovuja. Sasa nikawaza hv nikiiacha mwezi 1...
0 Reactions
12 Replies
90 Views
Anonymous
Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo imekuwa ikitoza ada ya usafi kwa kila kaya, ofisi na wafanyabiashara. Wananchi wamekuwa wakilipa fedha hizo kwa matarajio kwamba zitatumika kuboresha usafi wa...
0 Reactions
0 Replies
22 Views
  • Redirect
Nakupa huu ushauri wewe Kaka yangu wochi bela baki. Si kwamba nakupenda sana au nakujali, la hasha. Natoa tu indhari kwako. Mimi ni mmoja wa watu wanaotamani kuona unaadabishwa vikali na...
1 Reactions
– Replies
– Views
Lala fofo ewe mtanganyika mwenzangu. Kama alisababisha mvua kunyesha kule mwanza mbele ya shuhuda Rais Samia ,Mapadre wako wa Roma na masister wako wa Roma. Je atashindwa kuzuia isije ni yeye...
1 Reactions
1 Replies
74 Views
Wakuuu na wadau wa magarii kati ya outlander roadest 2010 na subaru forester ya 2009/10 ipi unashauri ninunue kwa matumizi ya safari ndefu na yenye uhakika wa kusafiri rough roads bila kuleta...
1 Reactions
8 Replies
123 Views
Wakuu nimepata maono wa mambo yanayokuja siku za mbeleni kuhusu AI, Hivyo hapa nafanya kama kuwatonya tu ndugu zangu msije angamia siku ikifika. Kuanzia mwaka 2040 zitaanza movement za AI kuwa...
3 Reactions
6 Replies
74 Views
Ndugu wadau, habari zenu. Kinacho mbana lisu ni matokeo ya kauli zake, hakuonesha au kusema wafuasi wake watatumia njia gani kuzuia uchaguzi usifanyike na hilo lipo wazi. Matokeo yake Sasa...
1 Reactions
54 Replies
448 Views
Naweza kuandika maneno elfu 10 lakini. ukweli ni kwamba machinga wanaonewa sana. Nature ya biashara zetu hapa bongo asilmia 80 ni uchuuzi. hawa watu wanateseka na hawana mtetezi. Wasubiri...
1 Reactions
4 Replies
79 Views
Ni vuta ni kuvute kati ya wananchi wa Kata ya Buhanda, Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma, na Shirika la Reli Tanzania (TRC), baada ya baadhi ya wananchi kukataa kusaini tathmini ya fidia kwa...
0 Reactions
0 Replies
57 Views
Wanajukwaa. Wiki moja na nusu nimepitia wskati mgumu sana maishani. Afya yangu ilipata pigo gumu sana, nilishapoteza matumaini ya kuishi kwa hali iliyonikumba. Nilianza kupata dalili ya mafua na...
32 Reactions
185 Replies
8K Views
“si mapenzi yangu, bali yako yatendeke.” (Luka 22:42) Setfree Psalm_23 Psalm 103 StudentTeacher Ni ipi siri ya maisha, ni kipi kipo nyuma ya ukweli wa maisha yetu. Nani ni muendeshaji wa kila...
1 Reactions
6 Replies
67 Views
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeeleza kuwa imeshanunua zaidi ya tani 30 za dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo, wa kati na wakubwa walio rasmi, hatua ambayo imechangia kuongeza akiba ya fedha za...
0 Reactions
0 Replies
63 Views
Hivi karibuni wamejitokeza watu inaoonekana wanatumiwa na adui shetani kujaribu kuzuia habari njema za Yesu Kristo zisiwafikie watu wengi duniani. Watu hao wamekuwa wakiipiga vita teknolojia mpya...
12 Reactions
98 Replies
944 Views
Unaisi nini kitatokea 1.. 2.. 3.. 4.. Narudi kupitia majibu
0 Reactions
13 Replies
242 Views
Back
Top Bottom