Machingafx
Senior Member
- Sep 25, 2026
- 100
- 128
Ivi wale jammaa ambao walikua wanatoa vichapisho vya SHUJAAZ NA FEMINA. Wamepotelea wapi??
Maana waliibuka kwa kasi kipindi fulani iv ila wakapotea ghafla.. na vile vijarida vilikua vinatengenezwa na kusambazwa na shirika gani?
Yoyote anaejua kwa undani hii mada tafadhali anaweza akanieleza kwa undani....