Great Thinkers

JF's Great Thinkers' home | If you want to be enrolled, contact us

JF Prefixes:

How in the shag can a minister who is responsible for good governance and indirectly supervision of TISS utter such childish, nusery school responses? How can our government be sound asleep when...
0 Reactions
43 Replies
9K Views
Nimekaa chini na kujiuliza tena, ni jinsi gani kawaida yetu Watanzania kuangalia bajeti yetu kwa kuangalia kuongeza mishahara na kupanda bei kwa bidhaa. Lakini nafikiri mara nyingi huwa tunakaa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Katika vitu ambavyo bado naishangaa leo hii, ni Serikali yetu kuwa na Sheria ya Habari ambayo inalazimisha kuwepo kwa Waziri wa habari. Nimejiuliza, kwa nini tunaendelea kuwa na Waziri Kamili...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Baada ya kashfa ya Richmond tulishuhudia vitu kama Richmod Towers n.k, katika pitapita yangu huku na kuko nimekutana na JK Towers. Je, JK ina simama badala ya nini? Je, ina uhusiano wowote na Rais...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Naam, kila lisemwalo lahifadhiwa kwa kumbukumbu. Ikiwa mtazamo na msimamo wa Maalim Sefu ni kuvunja Muungano pindi akiwa Rais wa Zanzibar, je CUF ya Lipumba na haya ya Muafaka yana maana gani...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Je Utabiri wa hali ya hewa ulipotamka mwaka 2002 kuwa kutakuwa na uhaba wa mvua, kwa nini Serikali ilipuuzia au ilifanya mambo yanayoonekana kana kwamba walipuuzia ushauri huo? Wakati tunapata...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Pamoja na juhudi zetu kubwa za kuking'oa CCM, ukweli ni kuwa vyama vya Upinzani havijajiandaa vizuri kuliongoza Taifa letu. Hili linatokana na ukweli kuwa havina watu wa kutosha ambao wanaweza...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Baada ya kupitia kanuni za Bunge letu kama nilivyoambatanisha, mimi kama Mtanzania naomba kutoa tamko na ombi kwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa wawasilishe muswaada...
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Yeah, hata mimi nina imani na kudumu kwa kijiwe hiki cha udaku na rumours. Lakini let us be honest with ourselves, this is just a frickin' message board let us not make it like some Lenin Square...
0 Reactions
55 Replies
11K Views
Our annual revenues out of mining sector (Diamond, Gold, Tanzanite, etc) which contibutes to national GDPis 1.9%! This was declared recently to Taifa. So I wonder when Ashanti, Barrick...
0 Reactions
101 Replies
15K Views
Siku ya kufa nyani miti yote huteleza. Sikuulewa kwa kina maana ya msemo huu wa wahenga kwa muda mrefu, kwani nilitatizwa na ukweli kuwa nyani ni mnyama aliyebobea katika sayansi na sanaa ya...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Was Zitto wrong? By Sunday Citizen Team The Income Tax of 1973, which was amended in 2002, bears the controversial Clause that Minister for Energy and Minerals, Nazir Karamagi told the...
0 Reactions
60 Replies
13K Views
  • Closed
Buzwagi saga Minister Karamagi makes confession By Sunday Citizen Team Minister for Energy and Minerals Nazir Karamagi has officially admitted that he deleted from the proposed Buzwagi...
1 Reactions
40 Replies
14K Views
Kesho ndio lile sekeseke la kumpata Rais Bora wa Afrika, wastaafu, linaanza rasmi. Index inatangazwa kesho 25th Sept. Habari nilizo nazo za ndani kabisa ni kuwa ushindani mkali upo kati ya Rais...
0 Reactions
81 Replies
18K Views
Kuna baadhi ya watu ambao wanataka tuamini kuwa siku Tanzania ikichukuliwa na wapinzani basi matatizo yote ya Tanzania yatatoweka kama ukungu! Baadhi ya watu hawa, hawaishi kuonesha udhaifu wa...
2 Reactions
508 Replies
53K Views
CCM kumbomoa Mbowe • Wadai watatumia mbinu iliyommaliza Sumaye Na Mwandishi Wetu CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeanza mkakati wa siri wa kubomoa upinzani, na sasa imedhihirka kwamba mlengwa...
1 Reactions
148 Replies
33K Views
Back
Top Bottom