Tanzania earning 1.9 in mines!

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
4,482
Likes
363
Points
180

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
4,482 363 180
Our annual revenues out of mining sector (Diamond, Gold, Tanzanite, etc) which contibutes to national GDPis 1.9%!

This was declared recently to Taifa.

So I wonder when Ashanti, Barrick, Tanganyika Royalty are posting double digits profit in International arena, we the People of tanzania just enjoy 1.9%?

Does it make sense to you that with all the richness, mining sector contibutes so little to Mfukoa wa Taifa?

What went wrong? what bothers me most is to find out that Norwegian are questioning tanzanians on an oil exploration deal where we have completely surrendered ownership of our natural resource and claim on 10%

Is this the win win situation that JK has been telling us and now he has created Kamati ya madini that he is inviting Wapinzani na Wataalamu?

Huku ni kudanganyana, why doesn't he extend that mandate to review all contracts through parliament? why Kamati maalum? Bunge has Kamatiz for very crap, why don't we give Bunge the powers and tools that are theirs per constitution?

It is embarrasing and depressing 1.9% earningss!
 
KadaMpinzani

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2007
Messages
3,750
Likes
24
Points
0

KadaMpinzani

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2007
3,750 24 0
mimi pia binafsi sipendi kusikia vitu vya kijinga jinga na kuongopeana, kama pesa za madini wanakula watuambie na sio kudanganya !

ningeshauri wanajeshi wasimamie hiyo sekta kwa muda halafu uone ingekuwaje !
 
Idimi

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2007
Messages
11,064
Likes
2,795
Points
280

Idimi

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2007
11,064 2,795 280

Kama takwimu halisi ni hizi, basi hali inatisha!
Tukimbilie wapi jamani wakati nchi ni yetu sote?
 
DAR si LAMU

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2007
Messages
2,941
Likes
285
Points
180

DAR si LAMU

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2007
2,941 285 180
..kwasasa sina data,ila,kwani utalii unatuingizia per cent ngapi?

..halafu unajua,katika sekta zilizokuwa kwa kasi katika miaka ya karibuni,interms of fdi ni madini!ila naona haina faida kwetu!

..ukiniuliza bora yangechimbwa na artisans!wakina ngosha wangejengaga angalau vijumba vya bati vingi zaidi!
 
DAR si LAMU

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2007
Messages
2,941
Likes
285
Points
180

DAR si LAMU

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2007
2,941 285 180
sasa tutafanya nini, na HAKUNA KITU KAMA MALI YA JESHI wakati kitu ni NATURE ! waliosema hivyo ni shuwaini kweli kweli !
..and still i cant stop being amazed!

..zamani nilielewa kuwa ni ya jeshi,at least the impression that was, by then!

..halafu,je wajua?jeshi lina kiwanda au packaging house ya dawa na wachina?iko pale taifa kwa pembeni!

..una ndugu wa karibu mwanajeshi?just wondering,really!
 
Ogah

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
6,232
Likes
82
Points
145

Ogah

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2006
6,232 82 145
Rev,

Kuna wengine wamesema 1.9% it is ok......................labda pengine siijui nchi yangu vizuri........lakini hiyo figure mmhhh...............yaani kweli tumekubali kupata 1.9% toka ktk madini yetu!!!
 
DAR si LAMU

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2007
Messages
2,941
Likes
285
Points
180

DAR si LAMU

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2007
2,941 285 180
Rev,

Kuna wengine wamesema 1.9% it is ok......................labda pengine siijui nchi yangu vizuri........lakini hiyo figure mmhhh...............yaani kweli tumekubali kupata 1.9% toka ktk madini yetu!!!
..wanaosema ok yawezekana wanapata hiyo 0.9 na kutubakizia 1.0!
 
Idimi

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2007
Messages
11,064
Likes
2,795
Points
280

Idimi

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2007
11,064 2,795 280
..kwasasa sina data,ila,kwani utalii unatuingizia per cent ngapi?

..halafu unajua,katika sekta zilizokuwa kwa kasi katika miaka ya karibuni,interms of fdi ni madini!ila naona haina faida kwetu!

..ukiniuliza bora yangechimbwa na artisans!wakina ngosha wangejengaga angalau vijumba vya bati vingi zaidi!
Uko sahihi mkuu, kuna wakati waziri wa madini wa awamu iliyopita alinukuliwa akisema kuwa akina Ngosha walikuwa wanalipa kodi kubwa kwa kiasi caha madini walichokuwa wanachimba ukilinganisha na hawa wenye mitambo ya kisasa. Sasa cha kujiuliza, pamoja na mitambo yote hii, pesa za masini zinaenda wapi?
 
Mkandara

Verified User
Joined
Mar 3, 2006
Messages
15,450
Likes
167
Points
160

Mkandara

Verified User
Joined Mar 3, 2006
15,450 167 160
Kishoka,
Haya ndio niliyokuwa nikiyasema siku zote lakini wengi hawakutaka kuamini ama hawakutaka kutofautiana na viongozi wao (wasomi).
Nakumbuka ktk kurushiana hoja na Mugongo Mugongo nilisema kuwa unaposikia madini yanachangia over 20 % ya GDP haina maana kabisa kuwa pato la Taifa limeongezeka kwa kiasi hicho hicho.
Na hata ukija sikia kwamba uchumi wetu umepanda asilimia 7 haina maana pia kuwa mfuko wa Taifa umetanuka zaidi ila ni hesabu ya mauzo ya taifa zima sio Madini as such..
Makampuni kama Barrick hucheza gombesugu ktk mahesabu yao wakionyesha, mathlan mauzo ya Usd billini 5 nasi tutaziweka hizo ktk hesabu ya Ukuaji wa uchumi wetu kutokana na mauzo hayo lakini hapo hapo ktk kuonyesha hesabu yao ktk matumizi mara nyingi hua ni zaidi ya pato kitu kama - billioni 6 kwa mwaka huo na kwamba wame invest zaidi ktk idara blaa blaaa blaaa i.e zana za uchimbaji, charity, usafiri (hasa kwa sababu barabara zetu mbovu) n.k hivyo mwsiho wa ngoma yote ni kuwa wameingia hasara na hawatalipa kodi. Lakini wakati huo huo lile ongezeko la mchango wa mauzo yao bado utaonyeshwa ktk ukuaji wa uchumi wetu, na tutasifiwa sana na WB ama IMF even though sisi hatukupata kitu bali ongezeko la herufi za mahesabu ya kuuza nje. At the same time hizi kampuni sio zetu, kwa hiyo kila kifaa kilichonunuliwa ni chao ama wamenunua toka nchi zao...afadhali kama hizi kampuni zingekuwa zetu ama zimesajiriwa nchini tungesema watafikiria ku invest zaidi humu ndani lakini reality ni kwamba nchi kama canada l;eo hii uchumi wake unazidi kupanda kishenzi na fedha yao inazidi kuwa strong kutokana na Ukoloni huu mamboleo. mauzo ya dhahabu yetu hupelekwa kwa kampuni yao mama ktk benki zao, stock exchange zao na in reality zinakuwa re- invested ktk miradi ya huko kwao. We are left with mashimo na hizo asilimia 1.9 kama mchango wao ktk mfuko wa Taifa.
Just imagine yaani ktk kodi zote tunazokusanya madini inachangia 1.9 ya mfuko mzima huoni kama ni afadhali kutokuwa na hiyo 1.9, 'cause na elimu yangu mbuzi lakini - I don't believe 1.9 will make a big impact ktk maisha ya Mdanganyika alozoea Umaskini.

Big coperates - Westerners are very good at this na kila siku tutatoka kapa unless tuwashike color za mashati na kufunga nao ubia. Better off kuwapa nafasi ya kuingia nchini kama kampuni ya uwekeshaji yenye makao yake ndani Tanzania.. -

JK pleeeeeeeeeeeease, Put your money where you mouth is!
 
BroJay4

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2007
Messages
236
Likes
4
Points
0

BroJay4

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2007
236 4 0
Madini kuingiza 1.9% katika mfuko wa taifa,naona kama mzaha tu,kheri mara kumi wangewachia akina Masanja,Mwita na Mangi waendelee na uchimbaji mdogo,wangeweza kulipa kodi zaidi ya hiyo 1.9,kuliko kuachia hawa akina Brown,huu ujinga gani jamani,sasa akina Kingwendu wanadai hawajui kwa nini Tanzania ni maskini,.
 
Koba

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Messages
6,143
Likes
500
Points
180

Koba

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2007
6,143 500 180
mimi pia binafsi sipendi kusikia vitu vya kijinga jinga na kuongopeana, kama pesa za madini wanakula watuambie na sio kudanganya !

ningeshauri wanajeshi wasimamie hiyo sekta kwa muda halafu uone ingekuwaje !
...acha unafiki wako hapa,kila siku unawatetea hao mafisadi na kutuita sisi waongo tunapiga kelele,endelea tuu na msimamo wako
 
Bongolander

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2007
Messages
4,882
Likes
56
Points
135

Bongolander

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2007
4,882 56 135
mimi pia binafsi sipendi kusikia vitu vya kijinga jinga na kuongopeana, kama pesa za madini wanakula watuambie na sio kudanganya ! ningeshauri wanajeshi wasimamie hiyo sekta kwa muda halafu uone ingekuwaje !
Kada, is this you? Naona siku zote unawatetea hawa jamaa, sasa hivi naona kama umepiga u turn na kuanza kuona uchungu wa nchi yako. Nadhani hakuna siri kama nchi yetu ina utajiri wa madini, na wanaoufaidi ni hao ambao wewe huwa unawatetea sana, leo nashangaa imekuwaje unapiga u turn. Unashauri kuwa jeshi lipewe usimamizi, unakumbuka aliyofanya Mboma alipokuwa CDF, sasa hivi serikali ya Tanzania ukiangalia toka juu mpaka chini kabisa utaona nusu ni ya CCM na nusu ni ya jeshi. Kuna mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na kwenye idara nyingi tu wapo wanajeshi, sasa sijui unachotaka kussugest ni nini! Lakini nimefurahi kuona leo umeonesha uchungu na nchi yako.
 
BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
80,439
Likes
117,238
Points
280

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
80,439 117,238 280
Our annual revenues out of mining sector (Diamond, Gold, Tanzanite, etc) which contibutes to national GDPis 1.9%!

This was declared recently to Taifa.

So I wonder when Ashanti, Barrick, Tanganyika Royalty are posting double digits profit in International arena, we the People of tanzania just enjoy 1.9%?

Does it make sense to you that with all the richness, mining sector contibutes so little to Mfukoa wa Taifa?

What went wrong? what bothers me most is to find out that Norwegian are questioning tanzanians on an oil exploration deal where we have completely surrendered ownership of our natural resource and claim on 10%

Is this the win win situation that JK has been telling us and now he has created Kamati ya madini that he is inviting Wapinzani na Wataalamu?

Huku ni kudanganyana, why doesn't he extend that mandate to review all contracts through parliament? why Kamati maalum? Bunge has Kamatiz for very crap, why don't we give Bunge the powers and tools that are theirs per constitution?

It is embarrasing and depressing 1.9% earningss!
Kichwa cha mwendawazimu ndivyo kilivyo na hata baadhi ya vinyozi wanashangaa huyu mwendawazimu hana hata ndugu, jamaa au marafiki wakamsaidia ili vinyozi waache kuchezea kichwa chake!

*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*

"We were amazed the conditions are so generous. Nothing like that could happen in Norway. If a foreign company is lucky enough, it might get 10 per cent of revenue not the host country. I wonder how the host government in this case could have accepted such a poor production sharing agreement which is far from internationally-acceptable standards."

~Norwegian Erik Hagen when discussing about recently signed contract between Tanzania and his Norwegian Company StatoilHydro company.
 
Chief

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2006
Messages
1,645
Likes
330
Points
180

Chief

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2006
1,645 330 180
mimi pia binafsi sipendi kusikia vitu vya kijinga jinga na kuongopeana, kama pesa za madini wanakula watuambie na sio kudanganya !

ningeshauri wanajeshi wasimamie hiyo sekta kwa muda halafu uone ingekuwaje !
A huge U-turn. Bravo Kada. Si kusimamia madini tu, bali waongoze nchi. Unaonaje?
 
KadaMpinzani

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2007
Messages
3,750
Likes
24
Points
0

KadaMpinzani

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2007
3,750 24 0
Kada, is this you? Naona siku zote unawatetea hawa jamaa, sasa hivi naona kama umepiga u turn na kuanza kuona uchungu wa nchi yako. Nadhani hakuna siri kama nchi yetu ina utajiri wa madini, na wanaoufaidi ni hao ambao wewe huwa unawatetea sana, leo nashangaa imekuwaje unapiga u turn. Unashauri kuwa jeshi lipewe usimamizi, unakumbuka aliyofanya Mboma alipokuwa CDF, sasa hivi serikali ya Tanzania ukiangalia toka juu mpaka chini kabisa utaona nusu ni ya CCM na nusu ni ya jeshi. Kuna mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na kwenye idara nyingi tu wapo wanajeshi, sasa sijui unachotaka kussugest ni nini! Lakini nimefurahi kuona leo umeonesha uchungu na nchi yako.
yah, ni mimi ! na sio mimi tu niliyepiga u-turn hata mwenyekiti wa CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) kashauri hivyo ! am not going with his advise, but it just happened that we share the same idea and thats one great thing about CCM, ingia ndani utaona uhondo wa CCM, kaa nje usikie FITNA NA MAJUNGU tu !
 
KadaMpinzani

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2007
Messages
3,750
Likes
24
Points
0

KadaMpinzani

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2007
3,750 24 0
...acha unafiki wako hapa,kila siku unawatetea hao mafisadi na kutuita sisi waongo tunapiga kelele,endelea tuu na msimamo wako
sawa mimi nakubali kuwa MNAFIKI kama mlivyonipachika uanachama wa CCM, na mkanijenga kuwa mwanaccm, na sasa unaniita MNAFIKI guess what ? i'll use that statement to benefit myself, wondering how koba ? wait you'll see.

Najua unaniita mnafiki kwa sababu nakubaliana na hoja nyingi sana wanazotoa viongozi wetu, kitu ambacho wewe (pengine na wengine wengi) hupingana nazo, lakini cha ajabu ni kwamba, kwa tofauti zilizo katika upendaji wa hoja, umetokea kuniita MNAFIKI kwa sababu naamini hoja za viongozi wetu ni nzuri, na hapo hapo HUJAWAHI kunisikia nikikuita wewe MNAFIKI kwa sababu hukubaliani na hoja zao, which i simply understand !<<SASA SIJUI KAMA UNAJARIBU KUSEMA KWAMBA KILA ANAYEPINGANA NA WEWE NI MNAFIKI AU LA>> unaweza ukaona wanayofanya viongozi wetu hayatosaidia wananchi kwa sasa while i might see that it will help wananchi in the long run (in the future) so, either way, lets keep the debate going without calling each other names !
Shukrani Bobu !
 
Forum statistics

Threads 1,204,818
Members 457,564
Posts 28,171,502