Baada ya kashfa ya Richmond tulishuhudia vitu kama Richmod Towers n.k, katika pitapita yangu huku na kuko nimekutana na JK Towers. Je, JK ina simama badala ya nini? Je, ina uhusiano wowote na Rais wa Tanzania? Mmiliki wake ni nani? Je, ana uhusiano wowote na Richmond au EPA?. Tuanze na conspiracy theories kisha wenye data watuwekee ili tuchimbe zaidi. Naweka picha hii hapa,nimeitoa kwenye blog hii http://udadisi.blogspot.com/
Unaweza pata habari kuhusu JK Towers kutoka kwenye website yao http://www.jktower.com
Unaweza pata habari kuhusu JK Towers kutoka kwenye website yao http://www.jktower.com