Katika gazeti la Citizen la tarehe 16/3 kuna makala inayoelezea shuhuri za Ocean Road cancer Institute. Nilipata mshangao mkubwa sana pale niliposoma kuwa yule aliyekuwa msaidizi mkuu wa dr. Ngoma...
Wakale walisema actions speaks louder than words. Kwa matendo yake, over the last 10 years, it is obvious to everyone kuwa kuwa Falsafa ya Uongozi wa Rais Jakaya Kikwete, na serikali yake ya awamu...
:thinking: Tanzania need better and capable people in making development changes, and those changes wont happen if the large part of our human resources is left hanging without a better platform...
Elimu na ujengaji wa tabia tunaweza kuvitenganisha vitu hivi viwili?
kwanini tunaenda shule kama tabia zetu hazito imarika na kutenda vyema zaidi?
Kwanini tunaenda shule kama elimu yetu...
DURU: TATHMINI YA CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA
Uchaguzi wa serikali za mitaa unaendelea kukiwa na marudio, mikanganyiko na kila aina ya vurugu.
Kuna dalili maandalizi hayakuwa mazuri kwa...
Hakuna taifa lolote lililoendelea pasipo maaarifa. Huu ni ukweli ambao wengi wetu hatupendi kuusikia. Mataifa ambayo kwa sasa yako juu yote ni mataifa ambayo yamehangaika kutafuta maarifa na...
NAUTAMANI ULE MTAA WAO
Wakati anakuwepo, alikuwa ni yeye pekee aliyehitaji kuwa kama anavyotaka kuwa. Aliufikia uwezo wake wa kimaumbile aliojaliwa, na kujitambua kuwa yampasa autumie vema ili...
A university is a place where young men are trained to think critically and independent (Nyerere 1922-1999). Kwamba, chuo kikuu ni mahali ambapo vijana hufunzwa jinsi ya kufikiri na kujitegemea...
Maendeleo yetu kama taifa yanategemea sana ni kiasi gani watu wetu wameelimika pasipo elimu hakuna maendeleo ya maana tutakayofanya.
Ili twende mbele kama taifa ni lazima tuwe na watu...
Nitaanza andiko langu na maneno kutoka kwa raisi wa zamani wa marekani, John Adams. Ni muendelezo wa makala zangu juu ya msingi muhimu zaidi katika ujenzi wa taifa lolote. Msingi wa maadili. Mimi...
Relevance is the concept of one topic being connected to another topic in a way that makes it useful to consider the first topic when considering the second. The concept of relevance is studied in...
Mwanabusara Leopord Senghor na rais wa kwanza wa Senegal aliwahi kumtetea mwafrika kutoka maono baguzi ya uweupe akasema kuwa, " waafrika wana akili kama watu wengine, wanafikiri vizuri na...
NI KILE MIMI NINACHOKIKUBALI NA KUKUAMINI KAMA NJIA YA MAENDELEO KWA BINADAMU
Siku zote huwa nina msimamo thabiti kuhusu uhalisia na ukweli juu ya kuendelea kwa binadamu. Kwangu mimi si mali au...
MISINGI YA MAFANIKIO
Sehemu ya Kwanza
Na Mlosi Mtulutumbi
Neno mafanikio lina tafsiri tofauti kwa kila mtu , na mimi pia nakubalia na hali hii kwani kubadili maisha yako toka kiwango Fulani...
Kwa nyakati fofauti, wengi wetu tumejifunza katika historia ya nchi yetu kwamba moja ya sababu za msingi ambazo Mwalimu Nyerere alizitaja miaka 50 iliyopita kwamba ni kikwazo kwa Maendeleo ya...
MAADILI ya uongozi ni mwenendo au tabia njema inayokubalika na jamii katika kazi ya kuongoza. Kwa kuwa uongozi ni kazi ya kuwaelekeza watu kwenye kujiletea maendeleo yao kwa utashi wa uhuru, haki...
Naomba leo tujadili kitu muhimu sana kwa Taifa letu; muungano wetu watanganyika na zanzibar. Muungano huu umekuwa chachu ya mijadala katika kipindi hiki ambacho taifa letu limeingia katika...
Mwakyembe pogoes to debase fellow lawyers as callow demagogues during the fateful constitutional debacle but most of his roadside bombshells tell us more about himself than his intended victims...
Kwa kipindi sasa nimekuwa sionekani. ila naamini maandiko yangu mengi hupanua ufikiri wa watu wengi. napenda kujifunza na kuelimisha wengine ili ninachojua kiwafikie wengine. Nasema hili kwasababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.