Great Thinkers

JF's Great Thinkers' home | If you want to be enrolled, contact us
Wanajamvi Huu ni mwendelezo wa uzi wa https://www.jamiiforums.com/great-thinkers/308989-duru-za-siasa-matukio-20.html Tutaangalia matukio mbali mbali yanayotokea nchini na dunia kwa nyakati...
11 Reactions
82 Replies
26K Views
DEAR MZEE MATONYA WA UKWERENI.... Damn, Damn, Damn! Florida Evans would have cursed! Damn, Damn, Damn, Mchungaji Kishoka is cursing! Walahi huu Umatonya umetukaa fiti kama vile kushoneshewa...
1 Reactions
174 Replies
26K Views
Nimekuwa nikijiuliza kwa muda, hivi ni kweli kuwa Tanzania na watu wake wote ambao ni Milioni 39.999.999 tumekubali kwa urahisi kuongozwa na mtu mmoja na kwamba kila linalokwenda mrama ni yeye...
0 Reactions
64 Replies
9K Views
Benki Kuu imetoa ripoti yake kwa ajili ya mwaka wa fedha 2007/2008 ambayo inaonyesha deni la Taifa kuongezeka kwa takriban 25% katika mwaka mmoja! Deni letu la nje bado ni kubwa ingawa deni la...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Kama Taifa, Watanzania tumepoteza uimara na umadhubuti wa kudai kwa nguvu uwajibikaji. Kama Taifa, tumeruhusu uongozi mbovu kushikilia dhamana ya kuliongoza Taifa. Tumefanya hilo kwa hiari...
7 Reactions
4 Replies
4K Views
Hotuba kwa walalahoi wenzangu kutangaza nia ya kugombea urais wa Tanzania Ndugu Walalahoi wenzangu, Kwanza nimshukuru mwenyezi Mungu ambaye kwa uwezo wake usiomithilika tumepata pumzi na nguvu...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Watu wanadhani kwamba kufanikiwa ni kuwa na mali nyingi kuna ukweli katika hili jambo? kwamba mtu aliyefanikiwa ni yule mwenye mali nyingi na wote wasionazo hawajafanikiwa? sidhani kama kuna...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Ujumbe wangu leo ni kwa vijana popote walipo katika nchi yetu. Vijana wa aina zote kabisa. Wa mjini na wa vijijini. Walioelimika na wasioelimika. Kama kichwa cha habari kinavyoelezea nataka...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Kama **** shipping line kati ya South Africa na Tanzania upo?ngarama za kusafirisha pick up unacheza katika kiwango gani?crate lililobeba pikipiki inakuwaje gharama zake? Kuna agent aliyeko hapa...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Wanajamvi Katika mabandiko 4 yajayo tutangaalia hali ya kisiasa mbali na BMK Tutajadili mbinu na mikakati inayotarajiwa siku za karibuni Namna CCM wanavyohaingaika kujinusuru Na namna UKAWA...
16 Reactions
65 Replies
19K Views
Ukweli ni kwamba kama unanipenda utaniheshimu. Huwezi kuniambia unanipenda wakati huniheshimu. Mapenzi huonekana katika heshima. Kama unampenda mke wako utamheshimu na kama una mpenda mume wako...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hiki ni kitabu kidogo cha busara. Ni matokeo ya tafakuri kuhusu maisha na mwenendo ulio bora. Kitabu hiki ni nuru na mwongozo uliobora. Kitaongeza ufahamu kwa wasio na ufamu na kukuza uelewa wao...
9 Reactions
0 Replies
7K Views
Ufalme uliogawanyika wenyewe kwa wenyewe hauwezi kusimama. Usemi huu una maana gani kwetu kama taifa? Je tunaweza kukaa na kutafakari kuhusu usemi huu? Nawaomba tukae na kufikiria kwa makini...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Kila wakati sisi binadamu ni muhimu kupata nafasi ya kufanya reflection. Tafakari ya kina kuhusu maisha yetu, kuhusu tabia zetu, kuhusu uwepo wetu duniani. Kuhusu mahusiano yetu. Ukuaji wa...
4 Reactions
0 Replies
2K Views
Ukitaka kuijua Marekani na CIA angalia hio mivie yenye title kill the messenger. Hii ni kwa ajili ya ma anko ruckus wote wanaojipendekeza na ulaya na kuona wazungu wao ni malaika. Sitataja majina...
3 Reactions
1 Replies
3K Views
Je kwanini wapiga kura wamemtema Jonathan ? Raia wa Nigeria wameshazoea kuwa rais anayeongoza hawezikushindwa katika uchaguzi wa Nigeria! Lakini leo Nigeria imefungua ukurasa mpya. Rais aliyeko...
5 Reactions
0 Replies
3K Views
Kuielewa rasimu ya katiba inahitaji kujua kusoma, kuandika, na kuhesabu. Kupiga kura kunahitaji kujua kusoma, kuandika, na kuhesabu. Sensa ya 2012 inaoesha kuna jumla ya watanzania 5.5m (milioni...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Viongozi wetu ni muhimu sana kujiepusha na kufanya biashara kama wanataka kuongoza taifa hili vyema, huwezi kuviweka vitu hivi pamoja na vikafanya kazi katika ufanisi wa hali ya juu. (Uongozi +...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Maarifa ni kitu cha msingi sana katika maisha ya binadamu, ili tuendeshe maisha yetu ya kila siku tunahitaji maarifa. Na kama maarifa yakituongoza katika kila kitu tunachofanya na kutenda...
4 Reactions
4 Replies
3K Views
MARIDHIANO NI BORA KULIKO KATIBA YENYEWE CCM HAINA HOJA, SASA INATEMBEZA KIPIGO KWA KASI NA VIWANGO WARIOBA KATETEA NCHI, WANANCHI MTAMWANGALIA HADI LINI? Wana duru, Kutokana na mazingira ya...
18 Reactions
36 Replies
11K Views
Back
Top Bottom