Njia ambayo hupeleka taifa kwenye amani

Shayu

Platinum Member
May 24, 2011
608
1,653
Siasa lazima iongozwe na mantiki huwezi tenganisha siasa na mantiki. Nchi za kipuuzi pekee huweka mantiki pembeni.

Tunapoacha mantiki na kufuata maslahi yetu binafsi huku maslahi ya taifa tukiyaweka pembeni tusitegemee kama tutafika kama taifa.

Kuna njia ambayo hupeleka taifa kwenye amani na maendeleo. Njia hii ni kuweka maslahi ya taifa mbele kuliko maslahi yetu binafsi.

Viongozi wetu lazima wajue hili na wazingatie. Njia ya amani ni kuweka maslahi ya taifa mbele na kuacha maslahi yetu binafsi.

Kama tunataka kwenda mbele kama taifa ni lazima tuzingatie hili. Na viongozi wetu lazima wajue wapo pale kwaajili ya maendeleo ya umma.
 
Na MANTIKI ndio UTU. Hakuna namna ya kulinda au kuleta amani under capitalism, ILA TU kwa kuivunja amani ya jirani yako.
 
Back
Top Bottom