....................,
you read my mind,
girl i wanna shake you down,
i can give you all the loving you need,
come on 'n let me take you down,
we'll go all the way to heaven!!
you read my...
Nimeangalia video fupi ya Isha Mashauzi katika blog ya John Kitime Muziki muziki nakubaliana na Kitime kuwa Isha kaleta changamoto mpya. Kushiriki kwenye show na dancers wake ni jambo jipyaaaaa...
Nimekaa sehem napata flash back za congo. Nawasikiliza kabasele, mabelee, boziana, defao, wenge n.k. Ni nyimbo tamu sana ambazo ziko kwenye collection. Najiuliza, zile enzi zimeenda wapi? Sasa...
Ni kitu rahisi sana tembelea bongowap.hexat.com uandike jina la wimbo wowote uutakao moja kwa moja utaingia kwenye simu yako buree kabisa na mavitu mengine mengi
Nafaidi kila mara nikipitia blog hizi za muziki wa Tanzania. Wanamuziki wa Tanzania na Muziki muziki kuna mengi ambayo media ya kwetu inajifanya haiyaoni
Katika kipindi cha PB leo asubuhi Hando kaahidi kumpatia comlementary 10 mbunge wa mbeya mjini pamoja na wapambe wake ili waje kuona tamasha kubwa ambalo hawajawahi ona. Great Thinkers mnasemaje...
"Temptations"
Yo Mo Bee main, drop that shit!
"Heyyyy! Heyy-ayyaahhyy" -- [Erick Sermon]
(Redman's "Watch Yo' Nugget")
[sample repeats until first verse]
You know what time, boo-yaow
I know...
wanaJF tafadhali kama kuna mtuu anayo CD ya
Pepe Kalle- Ce Chale Carnaval
hiyo ya pepe kalle naomba anisaidie niweze kuipata maana juhudi zote za kuitafuta Dar es salaam zimeshindikana...
Wanangu niaje?
Mi niko poa na Jumamosi ndio kama hii ishaibuka kudadadeki, kila ishu inanitaka mimi, ...dah...
Dah nimechelewa kuamka leo halafu dizaini halafu nilikuwa na mpango wa kuruka tauni...
Natafuta mtu wa kubadilishana nae stuffs lyk movies, programs n.k, mimi ni mpenzi sana wa vitu hivyo so i wish nikapata watu wawili watatu wenye hobies kama zangu, library yangu ya movies ina...
Na Bishop J. Hiluka
FILAMU kama zitachukuliwa kwa umakini mkubwa zinaweza kuwa chanzo kikubwa na muhimu sana katika kujenga taifa na zinaweza kutumika kama jukwaa la kuchochea mijadala nchini...
Actors Who Died During Filming
While the death of an actor is heartbreaking, it can also cause logistical problems if their demise takes place mid-way through a movie shoot. Weve investigated...
Peter Falk "Colombo" died at 83 alifariki dunia Alhamisi..., wengi mtamkumbuka kwa series zake ambazo alikuwa akifanya kazi kama detective...
RIP umetuachia entertainment which many will enjoy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.