Unajua nini? laif bongo miyeyushoo,baada ya kusafa long taim nini hatimaye juzi asubuhi kitabu changu cha kijani wamekichafua pale ubalozini.sir God hamwachi mja wake..ci unajua? laif la hapa...
Habari zilizo nifikia hivi punde ni kuwa,
Kama ilivyotarajiwa hatimaye mbunge wa mbeya mjini kwa tiketi ya CDM bwana Sugu sasa ameanza kampeni rasmi ya kulisifia na kulitangaza tamasha la Fiesta...
YouTube - ‪Sugu akiisifia Fiesta‬‏
Video ya Sugu aliyoitengeneza Marikani miaka mitatu iliyopita ikiwa kama promotion ya Fiesta wakati huo imeibuliwa na kufanyiwa editing ili...
Mbunge wa Mbeya mjini, aka Sugu ameandaa Tamasha kubwa litakaloshirikisha wasanii mbalimbali km Mchizi Mox, Mkoloni, Adili na wengineo wengi kwenye viwanja vya Rwanda Nzovwe. Kiwanja ambacho...
Inanipatia wasiwasi kuwa diwani wa Mbeya mjini amekiuka msimamo wa Mbunge wake Mh Joseph Mbilinyi kuwa Fiesta chini ya Clouds Fm hawatakwenda Mbeya kwa madai kuwa ni Mafisadi na wahujumu miradi ya...
....................,
you read my mind,
girl i wanna shake you down,
i can give you all the loving you need,
come on 'n let me take you down,
we'll go all the way to heaven!!
you read my...
Nimeangalia video fupi ya Isha Mashauzi katika blog ya John Kitime Muziki muziki nakubaliana na Kitime kuwa Isha kaleta changamoto mpya. Kushiriki kwenye show na dancers wake ni jambo jipyaaaaa...
Nimekaa sehem napata flash back za congo. Nawasikiliza kabasele, mabelee, boziana, defao, wenge n.k. Ni nyimbo tamu sana ambazo ziko kwenye collection. Najiuliza, zile enzi zimeenda wapi? Sasa...
Ni kitu rahisi sana tembelea bongowap.hexat.com uandike jina la wimbo wowote uutakao moja kwa moja utaingia kwenye simu yako buree kabisa na mavitu mengine mengi
Nafaidi kila mara nikipitia blog hizi za muziki wa Tanzania. Wanamuziki wa Tanzania na Muziki muziki kuna mengi ambayo media ya kwetu inajifanya haiyaoni
Katika kipindi cha PB leo asubuhi Hando kaahidi kumpatia comlementary 10 mbunge wa mbeya mjini pamoja na wapambe wake ili waje kuona tamasha kubwa ambalo hawajawahi ona. Great Thinkers mnasemaje...
"Temptations"
Yo Mo Bee main, drop that shit!
"Heyyyy! Heyy-ayyaahhyy" -- [Erick Sermon]
(Redman's "Watch Yo' Nugget")
[sample repeats until first verse]
You know what time, boo-yaow
I know...
wanaJF tafadhali kama kuna mtuu anayo CD ya
Pepe Kalle- Ce Chale Carnaval
hiyo ya pepe kalle naomba anisaidie niweze kuipata maana juhudi zote za kuitafuta Dar es salaam zimeshindikana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.