Mbwiga na Zomboko ni burudani tosha


mfianchi

mfianchi

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2009
Messages
8,766
Likes
2,320
Points
280
mfianchi

mfianchi

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2009
8,766 2,320 280
Nimetokea kuwapenda sana hawa jamaa wawili Mbwiga na Zomboko pale wanapohojiwa au wanatoa maoni kuhusu mpira wa miguu (Mbwiga) na muziki wa zilipendwa(Zomboko)
Mbwiga anakuwa burudani tosha anapohojiwa au anatoa maoni kuhusu mpira wetu hapa bongo kupitia radio ya watu(Clouds FM)na kwenye salamu za Millenia radio Free Africa Zomboko naye huwa burudani tosha anapotoa list za wanamuziki wa zamani na nasaha mbalimbali,hata kwenye Hizi nazo anakuwa ni mtu muhimu kutuelezea huo muziki.Hongereni sana nyote wawili Mbwiga na Zomboko aka Nazi la Msimbazi
 

Forum statistics

Threads 1,235,859
Members 474,779
Posts 29,238,796