PATA NYIMBO MPYA KABISA KWENYE SIMU YAKOo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PATA NYIMBO MPYA KABISA KWENYE SIMU YAKOo

Discussion in 'Entertainment' started by Lofefm, Sep 2, 2011.

1. L

Lofefm Senior Member

#1
Sep 2, 2011
Joined: May 22, 2011
Messages: 131
Likes Received: 5
Trophy Points: 35
2. B

Bajabiri JF-Expert Member

#2
Sep 3, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Mbona hakuna wimbo mpya hapa

3. D

Derimto JF-Expert Member

#3
Sep 3, 2011
Joined: Nov 4, 2010
Messages: 1,305
Likes Received: 5
Trophy Points: 135
Kaka kazi nzuri ila ina mapungufu ya kurekebisha kidogo baada ya hapo hawatakukamata kwa ukali ni hivi, vichekesho siyo vibaya ila kwenye nyimbo hasa za dini bado sana jaribu kuongea na maredio ya dini wakugawie maana nyimbo ziko nyingi sana na nzuri pia kwa za kiingereza ukifungua hazifunguki kirahisi kama bongo fleva na zilipendwa ndiyo kabisa na hizo ndiyo nyimbo adimu mtu kuzipata kirahisi madukani hivyo ukiweza wewe kuwa nazo utakuwa umetukamata wote binafsi nakuweka kwenye list yangu nitakutembelea kila mara nione kama kuna mabadiliko. Asante

4. G

Gwaks makono Senior Member

#4
Sep 3, 2011
Joined: Aug 27, 2011
Messages: 110
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Safi sana zpo ktk low size kaz nzuri!

5. L

Lofefm Senior Member

#5
Sep 3, 2011
Joined: May 22, 2011
Messages: 131
Likes Received: 5
Trophy Points: 35
usipate shida mkuu nipe siku mbili tu ntaongeza za dini za bongo ila za mamtoni ntaweka table ambayo mtaweka jina la msanii na kupata nyimbo zote kama hiyo haitoshi utaweka jina la nyimbo na kisha itaingia moja kwa moja kwenye simu zenu

6. ndetichia

ndetichia JF-Expert Member

#6
Sep 3, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 27,641
Likes Received: 236
Trophy Points: 160
lakini usisahau na kuwatoa hawa jamaa maana wamechoka mbaya..

7. L

Lofefm Senior Member

#7
Sep 3, 2011
Joined: May 22, 2011
Messages: 131
Likes Received: 5
Trophy Points: 35
ok! NDETICHA

8. figganigga

figganigga JF-Expert Member

#8
Sep 3, 2011
Joined: Oct 17, 2010
Messages: 14,980
Likes Received: 6,624
Trophy Points: 280
katika watu ninao wakubali hapa jf na wewe nakuweka kwenye list.kwa maana hiyo nakupa mia.mia

9. N

Namour Member

#9
Sep 5, 2011
Joined: May 27, 2011
Messages: 99
Likes Received: 5
Trophy Points: 15
Bravo!!!
i lyk t.

10. Nassir93'

Nassir93' JF-Expert Member

#10
Sep 5, 2011
Joined: Jul 14, 2011
Messages: 230
Likes Received: 7
Trophy Points: 35
yaap,,datz gud thng bro ila nyimbo za bongo mzaz nyingi sio mpya!!!congratulation lol make it happen

11. N

Namour Member

#11
Sep 5, 2011
Joined: May 27, 2011
Messages: 99
Likes Received: 5
Trophy Points: 15
Naomba unitafutie audio ya hii nyimbo,
ARTIST_FLAVOUR
SONG_NWA BABY (ASHAWO)
ALBUM_N'ABANIA.

12. F

Fideline JF-Expert Member

#12
Sep 5, 2011
Joined: Mar 4, 2011
Messages: 200
Likes Received: 25
Trophy Points: 45
Kaka Msama wanakutafuta!!

13. L

Lofefm Senior Member

#13
Sep 5, 2011
Joined: May 22, 2011
Messages: 131
Likes Received: 5
Trophy Points: 35

haya mkubwa nitajitahidi niwezavyo

14. L

Lofefm Senior Member

#14
Sep 5, 2011
Joined: May 22, 2011
Messages: 131
Likes Received: 5
Trophy Points: 35

msama ndio wakina nani mkubwa?

15. Katavi

Katavi Platinum Member

#15
Sep 6, 2011
Joined: Aug 31, 2009
Messages: 39,475
Likes Received: 4,134
Trophy Points: 280
Utawafahamu ukikutana nao...

16. U

Ulimakafu JF-Expert Member

#16
Sep 6, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 18,015
Likes Received: 743
Trophy Points: 280
Poa mwana.

17. L

Lofefm Senior Member

#17
Sep 6, 2011
Joined: May 22, 2011
Messages: 131
Likes Received: 5
Trophy Points: 35

acha utani mkuu ndo wa kina nani hao nijulishe.

18. L

Lofefm Senior Member

#18
Sep 6, 2011
Joined: May 22, 2011
Messages: 131
Likes Received: 5
Trophy Points: 35

nitajitahidi kuweka mpya mkuu

19. mchemsho

mchemsho JF-Expert Member

#19
Sep 8, 2011
Joined: Jun 8, 2011
Messages: 3,158
Likes Received: 143
Trophy Points: 160

Securiiityyy..! Ah sorry COSOTAAAA...arest this guy plz.

Loading...