[/TD]hii ni mbinu ya kuji promote kama hamjui atajificha halafu aibuke na wabongo mumpokee kama hero nonsense
Huko kuna wale jamaa wa LRA ni wabaya zaidi ya alshabab.....kama sio promotion ya movie yao basi Mungu amlinde SK arudi salama..Hakuna alshabab huko?
Hii ni kind of promo tuu! ndio maana source ni website ya Kanumba!.Following a dispute with the director of the film, he stormed away from the secure compound into the rainforest
Sasa hasira gani hizo? Hasira hasara. Acha akutane na ma cannibals wa msitu wa Congo
Lakini pia hii yaweza kuwa ni tekiniki ya kipuuzi ya kuipromoti hii movie yake
Huko kuna wale jamaa wa LRA ni wabaya zaidi ya alshabab.....kama sio promotion ya movie yao basi Mungu amlinde SK arudi salama..
hapa imenibidi tu nicheke!!1! lolIla pia inaweza isiwe promo, bali baada ya Kanumba kutofautiana na director wake, akaamua kushika hamsini zake, director akimini Kanumba kapotea!. Jamaa katulia mahali safe!.
Issue itabaki walitofautiana nini?. Kwa uzoefu hawa actors wetu waliozoea kuactia sebuleni, wakipelekwa msituni, inakuwa ni shughuli sio lele mama!.
Mkuu mbona kupotea pori kitu cha kawaida wale wanaojua mbuga za wanyama na hifadhi watakubaliana nami na ndio maana tunatumia GPS for navigation.