Ah Mkuu Sikonge wewe ni mkali aisee....
Nakukubali sana kwenye hizi Afro-music- urban, jazz, orchestra et al!
Na natamani kuwa mwanafunzi wako pliz...
Hizi ngoma mbili nimezichek, production zake hazijaachana sana, hao waliotoa remix nimewasifu kwa hilo hawajataka ku-divert sana...
Ngoja nitafute taarifa zao zaidi nitafurahi kama siku wakija kwenye "Sauti za Busara"
Kuhusu nyimbo yenyewe imebeba falsafa nzuri kuhusu Afrika "paradisso"...
Cha ajabu ni ngumu kuiona kwenye chaneli za kwetu, hiyo nyimbo sijawahi iona channel yoyote ya hapa bongo...
Kwa hiyo remix nazidi kukubali kuwa music ilianzia afrika lol....
Umenifunika sana ngoja na mimi nikufunike kwa utamu wa "Sauti za Busara" juzi...
Its Fredy Massamba.....
Mkuu Sikonge hapa kuna hazina kubwa sana, hebu msikie kijana kutoka Congo