Wazee wa magorofani (clouds fm p.t promotions) wawapiga chenga vinega ya mr suguu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazee wa magorofani (clouds fm p.t promotions) wawapiga chenga vinega ya mr suguu

Discussion in 'Entertainment' started by ChescoMatunda, Mar 21, 2012.

 1. ChescoMatunda

  ChescoMatunda JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,189
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Nasikitika kuwa jamii ya burudani ya music hasa bongo fleva hapa tanzania haiwezi kukua wala kusonga mbele kwakuwa ina watu wajanja wajanja wapenda pesa za burudani bila kupenda maendeleo ya musiki wenyewe hebu fikiria wasanii wanalalamika kila siku kuwa musiki haujawalipa vya kutosha na sababu kubwa ni baadhi ya wadau waliopo kwenye fani hiyo hasa wasambazaji na mapromota wa matamasha, hivyo baadhi ya wasanii wakaungana na kuanza kile walichokiita vita dhidi ya watu wanaowarudisha nyuma kimusiki hasa wakimlenga ruge na kampuni anazosimamia yeye, kimsingi hapo ndio vita yao ilipoanzia sasa ushindani wa matangazo utoaji wa matamasha vyote vilipelekea mashabiki kujua vita hiyo ya wasanii hasa baada ya tamasha kubwa la tarehe 26 kufanyika kwa pamoja ambapo pande mojawapo ilikosa wingi wa mashabiki hasa upande wa ruge na makampuni yao pamoja na matangazo yao yote kuhamasisha radioni na kwenye tv bado ilionekana ni mafanikio kwa vinega. Niseme hapo ndipo kulizuka mwafaka feki kati yao nasema feki coz ruge kakutana na sugu wamekubaliana baadhi ya mambo kama kuongeza maslahi kwa wasanii na kupunguza upendeleo lakini kwangu mimi naona hayo yalikuwa feki sababu tangu mwafaka ufanyike kuna vitu vimejitokeza mojawapo ni mdau mmoja kujitoa kwenye kuutangaza muziki na katangaza kuanza kuangalia michezo hasa mpira wa miguu wiki moja tuu tangu kutiana saini ya makubaliano kaingia mkataba na yanga halafu ikafuata simba na kuna uwezekano na nyingine ziko kwenye mazungumzo pia wakati msemaji wa prime time promotions akieleza waandishi kuhusu makubaliano ya kampuni ya prime time promotions kutiana mkataba na yanga alieleza wazi kuwa mpango wao sasa wanaangalia michezo hasa mpira wa miguu kuanzia sasa mpaka mwaka 2015. Mimi nilidhani baada ya makubaliano yale wangefanya show moja kati ya vinega na upande wa pili kuonyesha kuwa mambo yako safi na wameanza kuendeleza fani sasa kwa mipango yao ya baadae hawana nia na muziki makubaliano yalikuwa ya nini hasa???????? Je hapo ndipo wasanii watanufaika na nini kwa hali hiyoo??? Nahisi ni chenga ya mwili na akili za watu wadau great thinker tujadili hili vipi?
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,279
  Trophy Points: 280
  [h=6]PeenLawyer SwahiliOriginaltzcom
  [/h][h=6]o TAARIFA KWA UMMA: LEO MAJIRA YA SAA 7 VINEGA WENGI WALIKUWA PALE MAHAKAMA YA KISUTU ILI KUWEZA KUJUA NI MADAI GANI YALIYOWAFANYA WAITWE MAHAKAMANI......MADAI AMBAYO KWA MUJIBU WA KARANI WA MAHAKAMA AMBAYE KESI HIYO ILIKUWA IMEFUNGULIWA JALADA NAMBA 294 KESI YA MADAI YA MWAKA 2011...HAKIMU ANAITWA MOSHI NA KARANI WAKE ANAITWA GRACE ALIWAAMBIA VINEGA KUWA KESI ILIKUWA JANA JAMBO AMBALO SIO KWELI NA PILI KESI ILIFUTWA JANA.....TUNAYO MASWALI MENGI SANA TUNAYOJIULIZA JUU YA MADAI HAYA AMBAYO MPAKA SASA VINEGA HAWAJAYAJUA........ISSUE IPO CHINI YA KITENGO CHA SHERIA NA MUDA SI MREFU TUTAUAMBIA UMMA WA WATANZANIA NINI KINAFUATA JUU YA MSALA HUU WALIOJITAKIA WAFU FM.....!!!!
  o TUNAPENDA KUTOA SHUKRANI ZA DHATI KWA WADAU NA VINEGA WOTE WALIOKUJA KUTOA SAPOTI KWA MAGENGE YA MWENGE NA ANTIVIRUS KWA UJUMLA. TUNAJUA WENGINE WALISHINDWA KUJA KWAKUBANWA NA MAJUKUMU ILA HAKIJA ARIBIKA KITU KWANI BADO TUKO PAMOJA.

  [/h]
   
 3. SINA JINA1

  SINA JINA1 JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ruge anakimbia kivuli chake.Anajishikiza kwa magamba ila watamtema soon tutabaki naye kitaa ndio atapata fundisho.

  Vinega -Mapambano yanaendelea
   
 4. ChescoMatunda

  ChescoMatunda JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,189
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  kwakweli magamba wamepata kete kubwa kwa kuzima moto wa vinega kiaina namna ile sikutegemea kama ingekuwa yamalizwe kirahisi vile coz hakuna show za vinega zenye mvuto tena ile vita na munkali wa kupambana kimuziki umepotea wale wajasiliamali nilioongea nao hasa wa tshirt zenye nembo za vinega zimedoda coz moto wote umezimwa hii sio sawa kabisa.
   
 5. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Mkuu unauhakika gani kama moto umezimika??
  Tusubiri show inayofuata afu tutajua ......
  Kabla ya show ya "ustawi" Vinga walifanya show "Bilcanas" kwa hapa Dar.. hivyo Vinega hawajakuwa na show za mara kwa mara hapa town.... tulia angalia game kijana!

  Afu Mkuu upenzi wa Hiphop ni imani zaidi kuliko ushabiki, mpenzi wa hiphop anaweza kwenda kwenye show hata akiwa peke yake....
  Wakina Fid Q kipindi hicho wanakuja mjini anapiga show pale "Coco Beach" hamna mtu anayemjua tulikuwepo watoto wa Keko tu "Roho Saba" ye mwenye hakuamini baada ya show alitufuata kutushukuru jinsi tulivyoenda nae sawa...
  Joh Makini kwenye show ya "Black August" pale "Msasani Club" mwaka 2005 tulimpa kampani kuitikia nyimbo zake na "back up" ya kutosha hadi akashangaa kipindi hicho hamna anayemjua hapa mjini.....

  Nachotaka kusema ni kuwa show ya hiphop haiangalii mtu bali unajiangalia mwenyewe moyoni na anachowakilisha Emcee.
   
Loading...