Sehemu ya walinzi katika muvi za kibongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sehemu ya walinzi katika muvi za kibongo

Discussion in 'Entertainment' started by LEONELL, Apr 5, 2012.

 1. LEONELL

  LEONELL JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 394
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  mambo vp pipoz... daa ebana jana nilikuwa nacheki muvi moja ya kibongo daa dzaini ka nkashindwa kuelewa hivi ni kwanini karibu muvi zote za kibongo wasanii wanaokuwa wamepangiwa waigize kama walinzi lazima wajifanye kama vichaa coz cyo muvi hyo tuu kuna muvi kibao nimecheki na nime kiona mara kibao hicho k2.....embu tujuzane kuhusiana na hiki kitu
   
 2. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Kweli kabisa wanapenda kuwachukua comedians mf mtanga, masanja, ben
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,794
  Trophy Points: 280
  Walinzi wanakua wajinga-wajinga alafu jambazi mkuu lazima avute masigara hovyo-hovyo.
   
 4. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #4
  Apr 7, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,698
  Likes Received: 807
  Trophy Points: 280
  asili yake ni movie za kinaijeria!wameiga tu toka nigeria wakati walinzi wa kitanzania sio wapumbavu kihivyo!ndio maana unashangaa!
   
 5. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #5
  Apr 7, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Ndio trademark yao...:)
   
Loading...