>*< The BEST of Angeline Jolie >*<

>*< The BEST of Angeline Jolie >*<

AshaDii

Platinum Member
Joined
Apr 16, 2011
Posts
16,189
Reaction score
18,117
Hellow wana JF...

Leo nipo upande wa an actress Anjeline Jolie wa Holly Wood of whom I love too.
Naona ni moja wa actresses mwenye uwezo mkubwa sana kuigiza na huweza cheza
nafasi yoyote ile vilivo. Haijalishi ni nafasi gani na she can do it... Hio hunifanya nisake
movie zake kwa udi na uvumba. Do your share my Like/Love of her?? If YES Picha
zake zipi kwako wazipenda? Scene gani? Quote gani? Nafasi gani wapenda zaidi?
Na movie gani bora zaidi kwako? Alochemka? Na the Like.....

Among the Movies I love :

Beyond Borders
Salt
Mr. & Mrs. Smith
Challenging
Original Sin
The bone Collector
Taking Lives
The mighty Heart
na nyingine nyiingi.....

Pamoja Saana.

AshaDii.

Huwa simfagilii sana, save for the lips. Siku ukianzisha ya Penélope Cruz Sánchez ni beep. 🙂
 
Huwa simfagilii sana, save for the lips. Siku ukianzisha ya Penélope Cruz Sánchez ni beep. 🙂

Lips za huyu dada ni so unique.... No wonder.. I lie Penelope pia....

Ila nitendee haki lazima kuna a movie you have watched of her.. Mention it.:cool2:
 
You have watched original sin ... !! Im sure you can give some summry ... wil prompt me to watch it!!
 
You have watched original sin ... !! Im sure you can give some summry ... wil prompt me to watch it!!

hahaha.... AJ of all the movies nimetaja.... the only one you are curious of? lol

Nice to see you budy....
 
She z xo cute! Her eyez, eye lashes, vishavu, shortly kisura chote.
 
At the red carpet on TV, interview on Larry King, US Magazine, life-sized poster, life-sized blow up doll,......

Geez... I wish I could believe you have not watched her single movie.... basi ngoja nikuachie... Ila tu hio life sized blow up doll.. do you own it or umewahi tu kuona? :redface:
 
Lips za huyu dada ni so unique.... No wonder.. I lie Penelope pia....

Ila nitendee haki lazima kuna a movie you have watched of her.. Mention it.:cool2:

Utadhani namdesa NN lakini sijawahi kuangalia movies zake. May be Mr and Mrs Smith but it simply happened to be on the TV and there was nothing else interesting. Na sikujua performance yake ilikuwaje as nilikuwa nimejikita kuangalia only one thing kama nilivyoeleza hapo juu.
 
Geez... I wish I could believe you have not watched her single movie.... basi ngoja nikuachie... Ila tu hio life sized blow up doll.. do you own it or umewahi tu kuona? :redface:

I own two of them heheheheeheeee
 
She z xo cute! Her eyez, eye lashes, vishavu, shortly kisura chote.

Duu! Naona hapa we will be discussing her beauty sio movies....lol

Movie gani umeona Eshacky?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kuna movie moja hivi........yuko maporini.....dah...AD , lkini siikumbuki!! OMG
 
Back
Top Bottom