Msaada please

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
293
Great thinker,naomba kwa ambaye ameona movie nzuri ya series anitajie ili niitafute inikeep busy,nimeangalia,legend of the seeker,merlin,robin hood,24,lost ,spartacus,prison breaker,vampire diaries,kyle xy,so zisiwe miongoni mwa hizi,natanguliza shukrani
 
Nunua magazeti yote kwa kila siku soma kila mahala hadi matangazo, utakuwa ume-utilize muda wako vizuri. Maana katika hizo picha ambazo umeandika hapo hujaandika ya kitanzania hata moja, au uzungu?
 
Nunua magazeti yote kwa kila siku soma kila mahala hadi matangazo, utakuwa ume-utilize muda wako vizuri. Maana katika hizo picha ambazo umeandika hapo hujaandika ya kitanzania hata moja, au uzungu?

za kibongo hazinishiki kabisaaaa mkuu,lakini haina maana nimekosa uzalendo,napenda v2 vizuri
 
Back
Top Bottom