Donna Summers afariki dunia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Donna Summers afariki dunia

Discussion in 'Entertainment' started by Dingswayo, May 17, 2012.

 1. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #1
  May 17, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  [video=youtube_share;C2q2bis6eLE]http://youtu.be/C2q2bis6eLE[/video]

  Habari za hivi karibuni zinasema kuwa mwanamuziki maarufu wa nyimbo za disco, Donna Summers amefariki dunia kwa ugonjwa wa cancer. Kwa wale tuliokuwa tunakwenda disco miaka ile ya 70/80 mtakumbuka kuwa hakuna disco lolote la maana lililokosa kupiga nyimbo zake. Kwa ufupi ni mojawapo wa wasanii waliyoifanya disco iwe ya kinamna vyake kwa miaka ile.
   
Loading...