Live sex in Big Brother star game!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Live sex in Big Brother star game!!

Discussion in 'Entertainment' started by osokonoi, May 19, 2012.

 1. o

  osokonoi JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2012
  Joined: Dec 18, 2008
  Messages: 1,237
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  LUKE WA LIBERIA NA JESSICA WA NAMIBIA WAMEFANYANA!!
  luke & jessica.jpg

  Kwa wale wanaofuatialia reality show ya Big Brother ambayo kwa mwaka huu imepewa kilemba cha kuitwa Star game wanafahamu kwamba jana ilikuwa ni siku ya 13 tangu show hiyo ianze. Mimi siyo mtaalamu wa saikolojia wala mabadiliko ya kimwili yanayoendana na hisia za-kimapenzi, ila tu sielewe kama kilichotokea jana kinaweza kuwa kimesababishwa na siku 13 za kufungiwa ndani! Baada ya mishughuliko ya kutwa nzima, jana nikiwa nimejipumzisha kwenye kochi nilibonyeza rimoti yangu ya DStv ili kunifungulia channel 198/197. Moja ya sababu ya kuwa na shauku la kuangalia BBA kwa siku ya jana ni ili kufahamu hali ikoje kwenye jumba la Downville hasa baada ya wanaijeria wawili (Chris na Ola) kuamua kujitoa kutokana na sababu za kiafya. Mawazoni mwangu nilifikiri hali itakuwa ni ya kupooza…duuh, kilakitu kilikuwa ni kinyume. Kila mtu alikuwa amechangamka kuliko kawaida. Mpaka kuna wakati nikahisi labda wale jamaa walioondoka walikuwa wakiwanyima pumzi kiana!
  Chakushangaza nilichokugundua ni hali ya watoto wakike kuwa horny na kuonyesha hali hiyo waziwazi. Hapo juu nimetaja kwamba jana ilikuwa ni siku ya 13 toka idadi ya watu wasiopungua 28 kufungiwa downville. Sasa sina hakika kama uvumilivu umeisha washinda na sasa kila mtu anataka penzi bila kujali kamera zinazowamulika na kurusha live kila kinachotokea.
  Hali ya pilika ilikuwa ikiendele huku wengine wakitaniana, wengine wakipika na kula, wengine wakivuta sigara…kubusu nk. Jessica 21, mwakilishi wa Namibia na Luke 26, mwakilishi wa Liberia, walikuwa wamelala pamoja kwenye kitanda huku wakiwa wamejifunika blanket. Kwa muda wote hawakuonekana kuvutiwa na jambo lingine lolote lililokuwa likitokea nje ya wao wawili kukumbatiana ndani ya blanket. Ni wao peke yako waliofahamu kilichokuwa kikiendelea ndani ya vichwa vyao na mimi nilikigundua mara baada ya BiBi kuzima taa za chumbani kwao!
  Bila ya kuchelewa kila mmoja akiwa ndani ya blanket alihangaika kuvua ngo za ndani na kujiwe kwenye mkao wa kungonoka…eeeh! Mara ya kwanza sikuamini kama ninachokiona ni cha kweli au nilikuwa naota. Kabla sijamaliza kujiuliza nikaona wakifanya mapenzi huku wakidhani kamera haziwaoni…maweeee!! Kwa yeyote aliyeona atakubaliana na mimi kwamba haikuwa ngono salama na kama hali ikiendelea hivyo ina maana kuna watu watatoka BBA STAR GAME na maambukizi ya magonjwa ya ZINAA!!
   
 2. Constantine Akitanda

  Constantine Akitanda Member

  #2
  May 19, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  uzinzi wa kutisha !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 3. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  nina hamu ya kuona hio footage...lol:biggrin::juggle:
   
 4. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2012
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  mkuu hakuna aliye upload youtube hii kitu!
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Toka Bhoke alipomegwa hamu ya kuangalia BBA imekufa
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  May 19, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  huko ni full kungonoka tu. bora wawakilishi wetu wameondolewa.
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  May 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Wana haraka hao... Hivi sex ndio njia pekee ya kukuza jina in the house? This BBA ni nzuri sana ingekua wanao ingia humo sio malimbukeni... Hio inatangazwa dunia nzima. Na waliomo humo wanawakilisha bara la Africa. Kwa kweli ni aibu... Niliwahi sikia kwa baadhi ya kaka wakikiri kabisa akiwakilisha mdada Tz wanampigia kura atoke haraka sana kukwepa aibu za namna hii...
   
 8. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  yaani afadhali yule wa kwetuhapa katolewa maana alikuwa na kila dalili ya kupigwa kitu kama cha bhoke kwenye swimming pool ....mweeee
   
 10. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  hivi unifungie ndani na jinsia tofauti nakula na kunywa bila kazi yeyote unategemea nini?

  Kwa raha zao.
   
 12. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #12
  May 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Thanks for the Clip Superman.... What a waste!!

  Mambo ya kuiga haya... They do not look comfortable kabisa, na pleasure siamini kama ilikua two sided hio... Wa chini sioni hata kama kaplay part yoyote ile zaidi ya kusema alishiriki. Sad. If you do something crazy like having sex infront of a million viewers at least basi ingekua something worth watching....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #13
  May 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Jestina yani mmoja wao anaqualify kwa wote? :A S embarassed:
   
 14. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #14
  May 19, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Watu weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!

  Best vidole vimepona lakini?
   
 15. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #15
  May 19, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  AshaDii ungekuwa ni wewe ungefanyaje kama maji yamefika shingoni? Chakula kipo, njaa inauma.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #16
  May 19, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  inaelekea umezoea mikiki mikiki wewe.....woman on top,mwanaume anakuwa hajishughulishi zaidi ya kusikilizia fleva.....au ulitaka na yeye akate mauno???lol
   
 17. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #17
  May 19, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Loh! Dem anaonekana alikuwa na kiu balaa! Ila jamaa nae kakojoa haraka kama kuku!
   
 18. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #18
  May 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Superman na Jestina mmenisoma vibaya.... hahaha....

  On a serious note: Simlaumu sana Luke... He was just being a man... Sijui labda kidogo nimepitwa, ila sioni msingi wa wao kufanya hilo tendo live... kua walishindwa kuvumilia. The way wamefanya ni kama vile tu a casual couple ambapo wakiwa pamoja hamu inawaingia na wanaamua kufanya tendo. Kama vile ni watu wamezoeana siku nyingi. Jessica kwa upande wangu naona kaniangusha sana kutuwakilisha akina mama wa Kiafriaca. Sie hata kama unataka swagger lazima ziwepo bana. Alafu ukijua utaangaliwa na umati ni excuse tosha, I want to do it ila subiri tutok humu ndani sitaki ndugu zangu wanione...

  Tabia za tendo la 6/6 lina vary... the way walengwa wanafanya inatoa picha halisi ya vitu kama hamu waliokua nayo kutaka kufanya hivo (na hio hamu kama ni lust/need ama tu neccessity). Na hio inatoa picha kama wangeweza kusubiri na kuweka hamu zao pembeni ama lah. Jestina umenichekesha... mimi ni mtu mzima saana hilo tendo nilisha acha... naongea tu out of observations na experiences... I was young once you kno...
   
 19. o

  osokonoi JF-Expert Member

  #19
  May 19, 2012
  Joined: Dec 18, 2008
  Messages: 1,237
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Baada ya Ola na Chris kujitoa, mawazoni kwangu nilifikiri sasa mtu mwenye hekima aliyebakia downville ni Luke. Nasema hivyo kwasababu wengi wa washiriki waliyoko Downville, ni wadogo kiumri na hata wengine ni wadogo kifikra. Ingawa Luke hana umri mkubwa kama Edith, lakini kwenye maongezi na ushiriki wake kwenye tasks mbalimbali, anoanekana kukomaa kimawazo. I'm disappointed for what happened and felling sorry for him...aaakkkhhh
   
 20. o

  osokonoi JF-Expert Member

  #20
  May 19, 2012
  Joined: Dec 18, 2008
  Messages: 1,237
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Baada ya Ola na Chris kujitoa, mawazoni kwangu nilifikiri sasa mtu mwenye hekima aliyebakia downville ni Luke. Nasema hivyo kwasababu wengi wa washiriki waliyoko Downville, ni wadogo kiumri na hata wengine ni wadogo kifikra. Ingawa Luke hana umri mkubwa kama Edith, lakini kwenye maongezi na ushiriki wake kwenye tasks mbalimbali, anoanekana kukomaa kimawazo. I'm disappointed for what happened and felling sorry for him...aaakkkhhh
   
Loading...