Wasanii wa bongofleva na wacheza filamu walisusia mazishi ya mafisango? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasanii wa bongofleva na wacheza filamu walisusia mazishi ya mafisango?

Discussion in 'Entertainment' started by luck, May 20, 2012.

 1. luck

  luck JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 771
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Nilishangaa haya makundi mawili hayakuonekana pale tcc chang'ombe.wana tatizo gani au ni kwa sababu marehemu haKuwa msanii mwenzao?
   
 2. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Kwani hilo kundi la akina mafisango kuna aliyeenda kumzika kanumba?
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,088
  Likes Received: 6,554
  Trophy Points: 280
  Na kwenye ule umati wa Kanumba (R.I.P)
  unemtambua nani.

   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,088
  Likes Received: 6,554
  Trophy Points: 280
  Kama hawakwenda ni wajinga,
  tena hawajui kitu.
   
Loading...