Darwin's nightmare: Full Movie

Darwin's nightmare: Full Movie

me mbona sioni wakuu,au mashine yangu inashida?
 
ccm walikuwa wanalalamika bure. ukweli ni kwamba hii movie inaongea ukweli mtupu. mambo ya mapanki.
 
Enzi hizo me nilikua mwanafunzi wa nsumba mwanza nikweli wanafunzi tuliwai kugoma kisa kulishwa mapanki,jk alikataa asichokijua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom