Hivi kwa nini mtu ukitaka kuwapa big 5 hawa wanamuziki wa nchi yetu hii ya Tanzania, mambo huwa hayaendi?
kama wanavyojitangaza? wakisema saa 3 usiku muwepo msikose kumbe ni bomuuuuuuuuuuu...
wakati Apri 1st ikikaribia wengi huwa wanasheherekea sikukuu! ya wajinga lakini mi nakumbuka kifo cha huyu legend wa R&B, soul, doo-wop, funk, quiet storm...!!! RIP Marvin! Moja ya nyimbo yake...
Nasikitika kuwa jamii ya burudani ya music hasa bongo fleva hapa tanzania haiwezi kukua wala kusonga mbele kwakuwa ina watu wajanja wajanja wapenda pesa za burudani bila kupenda maendeleo ya...
Huu wimbo naona unatesa sana Youtube. Umetoka kwenye wimbo wa Rock maarufu wa Paradise - Coldplay ambao wanaonyesha Tembo (Mtu) anasafiri kuja Africa na kuwakuta wenzake wakila good time in...
TABASAMU: WIMBO MPYA MSAMIATI ft. Jux & Steve RnB - Nyingine
TABASAMU: wimbo mpya wa Darassa ft Mwasiti - Ukipenda huoni
TABASAMU: LINAH AACHIA VIDEO YA FITINA
TABASAMU: Squeezer ft Ommy...
Jamani, naombeni msaada kama
kuna mtu anaweza kunitumia lile
game la draft la kumvua nguo
mwanamke (kuna wadada
wanavua nguo baada ya kuscore
na ukiwa scored wanavaa tena)
au kama naweza...
Ndugu zangu wana JF naombeni kwa yeyote mwenye namba ya simu ya meneja wa mwanamuziki Dogo Aslay au ya dogo mwenyewe anipatie either kwa kuniPM au kwa sms 0755737737
nina mchongo mzuri nataka...
"DIAMOND YA FOREVER" ndio jina la show babukubwa inayo andaliwa na msanii wa bongo fleva Diamond platinum,itakayofanyika Mlimani city hiv karibuni kwa kiingilio cha Tsh 50,000.Ni hatua kubwa sana...
Hellow wana JF...
Leo nipo upande wa an actress Anjeline Jolie wa Holly Wood of whom I love too.
Naona ni moja wa actresses mwenye uwezo mkubwa sana kuigiza na huweza cheza
nafasi yoyote ile...
Jana tarehe 22/03/12 nimeshuhudia ufunguzi wa Club Maisha Mtwara, ilikuwa mida ya saa 10:15. Shampeni na mafataki yalipigwa kiaina. Club iko bora kwa kubata pande zote VIP ama kajambanani kote...
.........UPDATES..........
Hatimaye Rado anauwawa na Prosephina,Aireen nae anatupwa toka juu ya
gorofa na kufariki,anabaki Hommer na Prosephina.
Prosephina anafanikiwa kumpata mama yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.