Kwa wasanii na mashabiki wa bongo flava someni habari njema.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wasanii na mashabiki wa bongo flava someni habari njema....

Discussion in 'Entertainment' started by Ibang, May 18, 2012.

 1. Ibang

  Ibang Senior Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Habari ,
  Habari njema kwa wasanii wa kitanzania na wa kiafrica, kutana na official facebook page ambayo itakuwa ni ya miziki ya kiafrica mipya na ya zamani katika page ya MAMBO MUSIK ambayo inaenda kwa url ya www.facebook.com/officialmambomusik

  Page hii itasaidia kuinua mziki wa kiafrica ambapo itampa fursa msanii wa Kitanzania na Africa kuweza kusikika duniani kote
  Page itahusisha miziki ya kiafrica, biography za wasanii na habari mbali mbali kwa upande wa wasanii ili nyimbo zao ziweze kuwekwa kwenye page yetu ni BURE kabisa na anaweza tuma katika email yetu ya
  isubmission@yahoo.com
  Shukrani,
  Mambo Musik Team
   
 2. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  ongeleni lkn mngetafuta mbinu zenye ulinzi na manufaa kwa hawa wasanii wetu wa muziki ili ziweze kuwanufaisha binafsi
   
Loading...